Kilichozungumzwa na kikundi kinachozuia ukatili kwa watoto,sikiliza kupitia Hekaheka ya june 11.
Kutoka kwenye Idara ya Hekaheka leo wamezungumza kikundi ambacho hushughulikia Jipange kwa ajili ya kusaidia na kuzuia mambo ya unyanyasaji wamezungumza mengi miongoni mwa waliyoyasema ni pamoja na Changamoto wanazokutana…
Majibu ya Mbunge Salvatory Machemli kuhusu picha za utupu zilizosambazwa zenye sura yake.
Siku chache zilizopita kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii zilisambazwa picha mbalimbali za Wabunge wa Bunge la Tanzania zikionyesha wakiwa kwenye sehemu za faragha sehemu ambazo hutumiwa zaidi na wapenzi na…
Kilichojiri kwenye uamuzi wa rufaa ya Michael Wambura uchaguzi mkuu wa Simba
Sakata la Michael Wambura kuondolewa kwenye kinyang'anyiro za uchaguzi wa mkuu wa Uraisi wa klabu ya Simba SC leo limefikia tamati. Kamati ya rufani ya shirikisho la soka Tanzania, TFF,…
Walichoamua kufanya Balotelli na mchumba wake kabla ya kombe la dunia
Wakiwa nchini Brazil tayari kwa kushiriki michuano ya kombe la dunia inayoanza alhamisi hii - Mario Balotelli na mpenzi wake mwanamitindo Fanny Nageusha waliamua kufungua ukurasa mpya wa mapenzi yao.…
Picha 7 za Gari mpya ya Ney wa Mitego.
mastar mbalimbali wa Tanzania wamekua wakionyesha magari yao ambayo mengi yamekua ya kifahari,kwa mwaka 2014 ni mwaka unaonyesha wasanii wengi kumiliki magari ya gharama zaidi,mpaka sasa ni zaidi ya wasanii…
Time nyingine ya kucheki na The @Baloziz
Ni time nyingine tena ya kucheki episode ya The Baloziz, washkaji wanaowania nafasi ya kuwa balozi wa kinywaji kipya town kiitwacho Serengeti Platnumz. https://www.youtube.com/watch?v=BZbTxBXSjBM
Dakika 18 za kusikiliza magazeti yakisomwa Redioni leo june 11.
Huu ni utaratibu wa millardayo.com unapokuwa umepitia na vichwa mbalimbali vya habari nakupa nafasi nyingine ya kusikiliza pia ulichokisoma huku kikichambuliwa zaidi,hivyo huwa nakurekodia yakisomwa Redioni. 88.0 Clouds Fm inasikika…
Kurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo June 11 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kukupatia stori kubwa za Magazeti ya Tanzania kila siku kabla ya saa mbili kamili asubuhi kutoka kwenye kurasa za kila gazeti kuanzia ya Udaku, Michezo na hardnews kurasa…
Hii hapa Video nyingine ambayo huenda nayo ikafungiwa nchini Kenya.
Wiki kadhaa zilizopita, Kundi la muziki la Sauti Sol la Kenya liliachia video yake ya Nishike ambayo baadae ilifungiwa kuchezwa kwenye vituo vya Televisheni kutokana na madai ya kutokuwa na…
Mwanamke aliyefanya mapenzi na samaki aina ya Dolphin aongea kwa mara ya kwanza.
Unaweza kushangaa na kuona ni kitu cha ajabu lakini hii imetokea ambapo mwanamke ambaye alifanya mapenzi na samaki aina ya Dolphin ikiwa ni sehemu ya utafiti wa kisayansi amezungumza kwa…