Picha za kwanza za msiba wa Mzee Small na sauti ya chanzo cha kifo pamoja na ratiba ya msiba
Msanii Mzee Small ambaye alikuwa anasumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu amefariki dunia usiku wa kuamkia tarehe 8/6/2014. Hizi ni picha kutoka kwenye msiba na sauti kutoka kwa mwanae aliyekuwa…
Hizi ni taarifa za awali kuhusu kifo cha Mzee Small
Mzee Small ni miongoni mwa waigizaji wakongwe nchini ambao kupitia kazi yake ya sanaa ya maigizo ndani na nje ya Tanzania tulimtambua usiku wa June 07 zilianza kusambaa taarifa za…
Neno la kwanza la Diamond Platnumz baada ya kutofanikiwa kuchukua tuzo za MTV MAMA.
Macho na masikio ya Watanzania wengi kwa siku ya Jumamosi June 07 yote yalielekezwa Durban Afrika Kusini sehemu ambako zilikua zikitolewa tuzo za wateule wa MTV Afrika Music Award 'MAMA'.…
Magazetini Jumapili ya leo June 08 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kukupatia stori kubwa za Magazeti ya Tanzania kila siku kabla ya saa mbili kamili asubuhi kutoka kwenye kurasa za kila gazeti kuanzia ya Udaku, Michezo na hardnews kurasa…
Angalia video nyingine kali kutoka kwa Tyga wa Young Money
Wimbo wa video hii unaitwa Hookah amemshirikisha Young Thug. Enjoy kuucheki hapa. http://www.youtube.com/watch?v=b-J95fYuVz4#t=98
Enjoy new music kutokwa Pharrell ft Jay Z – Frontin (Disclosure Remix )
Hawa ni marafiki wa karibu sana na wamewahi kufanya nyimbo nyingi pamoja lakini hivi sasa imetoka disclosure remix ya wimbo wa Frontin ambao ulitoka kitambo kidogo. Enjoy kusikiliza kitu kipya…
Matokeo ya Tuzo alizoshiriki Diamond kwenye MTV Africa Music Awards
Tuzo ya mwisho alikuwa anawania Diamond kwenye MTV MAMA 2014 ilikuwa ni Best Male Artist lakini imechukuliwa na Davido. Leo Diamond alikuwa anawania tuzo mbili lakini hajafanikiwa kushinda kati ya…
Picha 14 za redcarpet ya MTV Awards,Diamond na Wema backstage na muonekano wa ukumbi
Hapa kuna picha 14 za red carpet ambapo Wema na Diamond walipota pamoja. Utaweza kuona picha za backstage na muonekano wa stage ya show ya leo. Zaidi ya hapo kuna…
Wale wa Instagram @divathebawse kawaletea hii kwa ajili yenu.
Mara nyingi tumekua tukifahamiana kupitia picha mbalimbali kwenye instagram,ukaribu tunaoutengeneza kwa kulike au hata ku comment kwenye picha ya mtu ambaye unaona pengine kakuvutia picha yake. Sasa Diva kaamua kutukutanisha…
Picha 10 za mwisho za Diamond kabla ya utoaji tuzo za MTV kuanza.
Mpaka sasa zaidi ya asilimia 90 ya maandalizi yote yamekamilika na kinachosubiriwa sasa hivi ni muda wa kujua washindi wa vipengele mbalimbali wanavyoshindanishwa kupitia MTV Africa Music Award 'MAMA' na…