Wale wa Instagram @divathebawse kawaletea hii kwa ajili yenu.
Mara nyingi tumekua tukifahamiana kupitia picha mbalimbali kwenye instagram,ukaribu tunaoutengeneza kwa kulike au hata ku comment kwenye picha ya mtu ambaye unaona pengine kakuvutia picha yake. Sasa Diva kaamua kutukutanisha…
Picha 10 za mwisho za Diamond kabla ya utoaji tuzo za MTV kuanza.
Mpaka sasa zaidi ya asilimia 90 ya maandalizi yote yamekamilika na kinachosubiriwa sasa hivi ni muda wa kujua washindi wa vipengele mbalimbali wanavyoshindanishwa kupitia MTV Africa Music Award 'MAMA' na…
Picha za harusi ya Producer Lucci wa bongofleva
Producer Lucci wa studio za Transformax ameuaga rasmi ukapera baada ya kufunga ndoa na mchumba wake Lisa Tsere ambae Mungu tayari aliwajalia mtoto wa kiume na hivi sasa ni mume…
Mambo 6 kutoka hapa Durban South Africa kuhusu Diamond Platnumz na tuzo za MTV
Wote mpaka sasa tunafahamu toka siku nyingi kwamba Diamond Platnumz ni mwimbaji pekee kutoka Tanzania aliechaguliwa kuwania tuzo kwenye tuzo za MTV BASE ambazo zinatolewa leo June 7 2014 hapa…
Magazeti ya leo June 07 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kukupatia stori kubwa za Magazeti ya Tanzania kila siku kabla ya saa mbili kamili asubuhi kutoka kwenye kurasa za kila gazeti kuanzia ya Udaku, Michezo na hardnews kurasa…
Na hii ndiyo picha maarufu hivi sasa ya Lupita Nyong’o
Mshindi wa tuzo ya Oscar na star mpya wa movie ya star wars amepigwa picha akiwa beach na picha hiyo kama kawaida ya internet inasambaa kwa kasi kubwa.
Cheki picha 15 za party ya Chris Brown akisherekea kutoka jela
Chris Brown ametoka jela na kuungana na watu wake wa karibu wakiwemo mama yake na girlfriend wake. Hizi ni picha za kwanza kabisa kumuonyesha Chris Brown tangu atoke jela. Ukiangalia…
Khloe Kardashian afika hadi Africa kwa ajili ya mapenzi.
Mitandao mingi ya udaku wamekuwa wakiripoti mapenzi mapya kati ya rapper wa Bad Boys record "French Montana" na "Khloe Kardashian" ambaye ni mdogo wake Kim Kardashian. Khloe alikuwa ni mke…
Baada ya dili la Beats, Dr Dre atumia dola millioni 40 kununua jumba hili.
Ukikamilisha dili la dola billion 3 utafanya kitu gani cha kwanza kabisa kutokana na hizo pesa ulizopata. Majibu yanaweza kuwa ni mengi kutokana na mawazo ya kila mtu. Dr Dre…
Maelezo ya mmiliki wa nyumba alikouwawa Nyoka akiwa na kitambaa cha maandishi ya kiarabu Arusha
June 05 2014 mchana kupitia mitandao mbalimbali Tanzania zilisambaa taarifa zikimuhusu mmiliki wa mojawapo ya nyumba maeneo ya Sakina jijini Arusha kwamba nyoka aliekua akimfuga kwa siku nyingi na kuhusishwa…