Huyu ndiye Chatu aliyeuwawa Arusha Mchana wa June 05,kuna picha zake 5 hapa.
Wiki chache zilizopita wakazi wa Kinondoni walimuua Mamba ambaye alikua akiishi karibu na bwawa maeneo ya Kinondoni block 41 na ni baada ya kuchoshwa nae wakaamua kumuua,sasa baada ya mamba…
Shabiki anunua nyumba ya Whitney Houston.
Mapenzi yaliyopitiliza ya shabiki wa muziki wa Marehemu Whitney Houston yamemfanya kununua nyumba ya mwanamuziki huyo na kuahidi kuitunza kwa ajili yake. Nyumba hiyo ya Whitney iliyopo katika mji wa…
Wazungu wameleta jingine, ni kipindi cha TV kuonyesha Wanawake wanaojifungulia porini.
Kampuni ya Lifetime ya nchini Marekani imetangaza kipindi kipya cha Televisheni kitakachoonyesha wazazi vijana wakijifungua porini bila msaada wa madaktari wakati wa hatua zote za kujifungua lakini pia hawatakuwa na…
Jingine jipya kutoka kwa Mez B.
Stori za mtaani ambazo zimetoka zinasema kuwa Mwanachemba Mez B yuko kwenye mahusiano na msichana ambaye kwa taarifa ambazo si rasmi kuwa ni miongoni mwa wasichana ambao biashara yao ni…
Ukitoa mtoto aliyefungiwa kwenye box,huyu ni msichana wa kazi nae aliyefungiwa miaka 3.
Siku chache baada ya taarifa za kutoka Morogoro zilizomhusu Mtoto Nasra ambaye kwa sasa ni marehemu ambaye alifungiwa kwenye box kwa miaka 4,leo kutoka idara ya Hekaheka za leo kuna…
Baada ya mzozo wa muda mrefu juu ya umiliki wa nyimbo za Bob Marley, hiki ndicho kilichoamuliwa.
Mzozo wa kisheria juu ya nani anayemiliki baadhi ya nyimbo maarufu za reggae duniani za Bob Marley umemalizika mjini London. Nyimbo hizo zilizotungwa na kuimbwa na msanii Bob Marley zimekuwa…
Unamkumbuka yule trafic wa Kenya alievaa sketi fupi?kaja na hii tena.
Yule trafiki wakike wa Kenya ambae kwa sasa Wakenya wengi wanamuita Koplo Linda Okelo ameingia tena kwenye headlines huko huko Kenya na kwa sasa ameamua kwenda mahakamani kupinga hatua ya…
Kanye West anafanya haya kwa kuhofia usalama wa mtoto wake North.
Rapa wa muziki kutoka nchini Marekani Kanye West ameelezea wasiwasi wake juu ya usalama wa mtoto wake wa pekee North West katika macho ya jamii ambapo sasa anachukua hatua madhubuti…
Huyu ndiye mtu aliyejivisha kama Rambo na kufanya mauaji ya maafisa watatu wa polisi.
Wahalifu kila siku wanakuja na mbinu mpya ambapo Polisi nchini Canada wanamsaka mtu hatari mwenye silaha ambaye amevaa mavazi kama ya muigizaji wa filamu za mapigano Rambo. Mtu huyo amewaua…
Gerard Pique aweka hadharani alichoambiwa na Fabregas kuhusu kuondoka Barca
Seke seke la usajili wa kiungo wa kimataifa wa Spain anayekipiga katika klabu ya FC Barcelona ya La Liga limechukua hatua nyingine. Fabregas ambaye anapiganiwa na vilabu vya Arsenal, Manchester…