Ushahidi wa Suarez kumng’ata mchezaji mwingine – matokeo ya mechi ya Italy vs Uruguay na England vs Costa Rica
Kwa mara nyingine katika kipindi cha maisha yake ya soka, Luis Suarez ameingia tena kwenye headlines kwa kumng'ata mchezaji mwenzie uwanjani. Kwenye mchezo wa mwisho wa makundi kati ya Uruguay…
Kilichojiri kwenye mechi za Ivory Coast vs Ugiriki na Japan vs Colombia
Matumaini ya bara la Afrika kuingiza timu kwenye hatua ya 16 bora ya michuano ya kombe la dunia yameanza kupotea. Wakicheza mchezo wao muhimu na wa mwisho, Ivory Coast ilikubali…
Magazeti ya leo 25 June 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kukupatia stori kubwa za Magazeti ya Tanzania kila siku kabla ya saa mbili kamili asubuhi kutoka kwenye kurasa za kila gazeti kuanzia ya Udaku, Michezo na hardnews kurasa…
Stori 10 za AMPLIFAYA June 24 2014
Kwa sababu kazi yangu ni kuhakikisha hupitwi nimekuandikia hapa stori zote kubwa za AMPLIFAYA kama ulikua mbali na Radio leo June 24 2014 mtu wangu. Amplifaya ni show ambayo husikika…
Ndoa ya Amini kwenye headlines tena #Youheard
Ni saa zisizozidi 48 tangu ndoa ya Wasanii Amini na Namcy ifungwe ambapo kuna kitu kimeonekana kuwa tofauti na ndoa nyingine hasa upande wa jina wakati wa kuandikisha ndoa hii.…
Ikiwa ni saa zisizozidi 24 za kuachiwa kwa yule Mwanamke wa Sudan,amekamatwa tena.
Siku moja baada ya kuachiwa huru kwa yule mwanamke aliyekuwa amehukumiwa kifo kwa kosa la kuolewa na mwanaume wa kikristo,Taarifa kutoka nchini Sudan zinasema kuwa mwanamke huyo amekamatwa tena. Jina…
Sikiliza jinsi tatizo la Umeme lilivyosababisha maafa kwa familia hii.
Unaweza ukakosa upande wa kuulaumu kutokana na hii stori ilivyo kuanzia chanzo cha moto huu mpaka ulivyokuja kusambaa na kusababisha maafa kwenye familia hii ambayo yamesababisha vifo vya watoto wadogo…
single mpya ya Joh Makini umeipata? inaitwa ‘najiona mimi’ ( I see me) iko hapa
Ni single nyingine kutoka kwa mwamba wa Kaskazini ambaye pia anawakalisha Weusi kampuni Joh Makini wimbo unaitwa Najiona mimi umefanywa na Nah Real pamoja na Chizan Brain. Mara ya mwisho…
Jiandae kwa filamu ya tano ya “Rambo”, inakuja kivingine.
Mwigizaji Sylvester Stallone amesaini mkataba mpya kwa ajili ya kucheza filamu ya tano ya Rambo. Nyota huyo pia tayari ameanza kuandika muswada kwa ajili ya filamu hiyo inayohusisha jeshi la…
Taarifa ya Jeshi la Polisi Tanzania juu ya mauaji ya mtawa wa kanisa katoliki aliyeuwawa June 23.
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar esa salaam imetangaza msako mkali wa kuwatafuta na kisha kuwakamata walio husika katika tukio la kuua kwa kumpiga risasi kwa mtawa wa kanisa…