Nyingine ya Rais Kikwete na Diamond Platnumz Marekani.
Siku mbili zilizopita ndio picha ya kwanza ya Diamond alipokutana na Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete ilitoka, walikutana New York na haikujulikana kama kuna kolabo inanukia.…
Magazetini leo June 04 2014 Udaku, Michezo na Hardnews
Ni utaratibu wa millardayo.com kukupatia stori kubwa za Magazeti ya Tanzania kila siku kabla ya saa mbili kamili asubuhi kutoka kwenye kurasa za kila gazeti kuanzia ya Udaku, Michezo na hardnews kurasa…
Victoria Kimani katoa dili,kama ukishinda laki 8 za Kitanzania zinakuhusu.
Mwanadada kutoka kwenye ardhi ya Kenya Victoria Kimani ametoa dili kwa wewe shabiki wake au unaefatilia muziki wake,ishu hii kaitangaza baada ya wiki chache kutoa wimbo wake wa Prokoto. Cha…
Huyu ndiye video Queen aliyetaka kutolewa vipande vyake kwenye video ya Wauwe ya Chege na Temba.
Wakati video ya wimbo wa 'wauwe' ya Chegge na Temba ikiendelea kumaliziwa baadhi ya vipande vya video hiyo tayari miongoni mwa Warembo walioonekana ndani yake ametaka picha zake za video…
Baada ya Mganga,sasa huyu mchungaji amedai anaweza kumrudisha duniani mtoto aliyefariki.
Maktaba ya Stori kutoka Idara ya Hekaheka leo ina stori kuhusu mchungaji ambaye amesema ana uwezo wa kumrudisha mtoto aliyefariki dunia,Mchungaji huyo amedai kuwa mtoto aliyefariki hakua amefariki kama walivyodhani…
Jamaa aliyeigiza kama Idi Amini amefariki Dunia.
Wakati Tanzania tukiendelea kuwa na majozi ya vifo 3 mfululizo kutoka kwenye tasnia ya filamu Tanzania,wenzetu nao wamempoteza jamaa aliyeigiza kama Idi Amini. Kupitia filamu ya The Rise and Fall…
Dakika 17 za kusikiliza Magazeti yakisomwa Redioni.
Mara baada ya kuwa umepitia kurasa mbalimbali za Magazeti naomba utumie nafasi hii pia kusikiliza yakichambuliwa na kusomwa kupitia kipindi cha Power Breakfast,hapa yanachambuliwa na kusomwa na PJ. 88.4 Clouds…
Picha 25 za kituo kipya cha Makumbusho asubuhi ya June 03.
Hiki ni kituo kipya cha daladala ambacho kinafanya kazi baada ya kile kituo cha Mwenge kuvunjwa kwa sasa kupisha ujenzi wa barabara,hivyo wasafiri wote waliokua wanashukia Mwenge na kupandia Mwenge…
Hii sasa kali…cheki picha mpya za Rihanna zinazoleta gumzo kwenye internet.
Rihanna amewahi kuacha gumzo mara nyingi kutokana na picha zake zinazosambaa mtandaoni. Mara nyingine tena picha za Rihanna ndio zinakuwa picha zinazoangaliwa sana hivi sasa kwenye mtandao. Picha hizi amepiga…
Magazeti ya leo June 03 2014 Udaku, Michezo na Hardnews
Ni utaratibu wa millardayo.com kukupatia stori kubwa za Magazeti ya Tanzania kila siku kabla ya saa mbili kamili asubuhi kutoka kwenye kurasa za kila gazeti kuanzia ya Udaku, Michezo na hardnews kurasa…