Sikiliza You heard ya leo inamhusu Aneth Kushaba wa Sky Light Band.
Meneja wa Sky Light Band Aneth Kushaba kupitia You heard ya leo ametangaza kupotelewa na gari alilokuwa anatembelea ambalo ni la ofisi,ukisikiliza alichokifanya Soudy Brown ni kama mtu aliyekua na…
Kundi la G-Unit laungana upya kama zamani.
Kundi maarufu kwenye muziki wa Hiphop linalojumuisha wasanii kama 50 Cent,Llyoid Banks,Young Buck na Tony Yeyo waliwahi kutamba sana kwenye muziki wakiwa kama kundi na solo artist. Baada ya muda…
Angalia video ya kibaguzi iliyomuweka Justin Bieber matatani
Ishu ya ubaguzi inachukuliwa kwa umakini sana kiasi kwamba mtu yoyote akisema neno au kuonyesha kitendo cha ubaguzi wa rangi bila hata kukusudia, lazima atajikuta na maswali ya kujibu. Kitu…
Habari mpya kuhusu Chris Brown na kesi zake mahakamani.
Licha ya video yake ya Loyal kuendelea kumuweka pazuri kwenye soko lake la muziki, bado kwenye maisha binafsi ya Chris Brown mambo yake hayapo vizuri. Siku ya May 9 Chris…
Kutoka Kigoma,Picha 11 za mazishi ya mama mzazi wa Zitto Kabwe June 02.
Mchana wa June 02 ndiyo yamefanyika mazishi ya mama mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe Bi.Shida Salum ambaye alifariki jana Mei 01 Jijini Dar es salaam kisha akasafirishwa…
Taarifa ya kuwasili kwa Taifa Stars na walivyopongezwa kwa ushindi
Kikosi cha Taifa Stars ambacho jana (Juni 1 mwaka huu) kiliitupa Zimbabwe (Mighty Warriors) nje ya michuano ya Afrika baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 kinarejea nchini leo (Juni…
Wazungu noma, Wametengeneza hii ndege inayotumia nguvu ya jua, tayari imeanza kuruka.
Ndege inayoendeshwa kwa kutumia nguvu ya jua ya Solar Impulse 2 aircraft ambayo ni ya pili katika mfululizo wa ndege za aina hiyo zinazotengenezwa nchini Uswizi leo imeanza safari yake…
Kama ulimis mchezo wa jana Tanzania vs Zimbwabwe – Angalia magoli hapa
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa stars’ imesonga mbele kwenye hatua nyingine ya kuwania tiketi ya kushiriki michuano ya AFCON 2015 kufuatia sare ya 2-2 dhidi ya wenyeji Zimbabwe katika…
Kuhusu marufuku ya kuvuta sigara kwenye masoko, migahawa na mahotelini nchini Urusi.
Ile sheria ya kupambana na uvutaji sigara imeanza kutumika nchini Urusi ambapo sasa ni marufuku kuvuta sigara katika migahawa na maeneo mengine ya kupata huduma za chakula. Marufuku hiyo pia…
Director George Tyson kuzikwa kwao kenya.
Aliyekua Director wa vipindi mbalimbali vya televisheni na Filamu George Tyson ambaye alifariki kwa ajali ya gari Mei 30 akiwa njiani kutokea Dodoma anategemewa kuagwa Jumatano June 05 kwenye viwanja…