Mtoto wa Pele amehukumiwa kwenda jela aisee
Edson Cholbi do Nascimento maarufu kama Edinho ni mchezaji soka mstaafu aliyecheza kama mlinda mlango katika klabu ya Santons ambayo Pele alicheza miaka ya 90. Unaambiwa mtoto wa Pele mwenye…
Taarifa rasmi ya Yanga kuhusu uwenyekiti wa Manji na kocha Maximo
Mkutano Mkuu wa marekebisho ya baadhi ya vipengele kwenye Katiba ya Yanga umefanyika na kumalizika salama na furaha kwenye Ukumbi wa Bwalo la Polisi -Oysterbay Dar es salaam huku wanachama…
Matokeo ya Tanzania vs Zimbabwe na wafungaji magoli – ingia hapa
Timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imefanikiwa kuvuka hatua ya kwanza ya michuano ya kuwania kucheza michuano ya kombe la mataifa huru ya Afrika linalotarajiwa kufanyika mwakani. Stars leo…
Show ya Kili music tour Mwanza jana.. @MwasitiJ @OmmyDimpoz, @VanessaMdee @FidQ @Iam_Benpol
Kili tour bado inaendelea na list ndefu ya wasanii wamewafurahisha wakazi wa Mwanza 88.1 kwa show kali jana May 31 2014 ikiwa ni Tour ambayo inawajumuisha washindi na washiriki mbalimbali…
Ulimis You heard na Hekaheka ya Mei 30,sikiliza hapa.
Muda mwingine teknolojia inasumbua kupandisha hizi sauti kwa muda maalum lakini ahadi yangu kwako iko pale pale kuhakikisha hupitwi na kitu chochote kinachonifikia iwe usiku au mchana. Kwenye You heard…
Nicki Minaj asema siku moja atafunga ndoa na rapa huyu
Nicki Minaj amejibu swali hili kwa uhakika kabisa bila wasiwasi wowote na kuwa gumzo tena.Minaj akiwa anafanya interview na magazine ya I-D moja ya majibu yake yana make headline hivi…
Taarifa nyingine kuhusu yule mwanamke wa Sudan aliyefungwa jela kutokana na kuolewa na mume mkristo
Headlines za dunia pia zimegonga sana kwenye siku hizi za karibuni kuhusu mwanamke wa Sudan ambae amekua akisubiria hukumu ya kunyongwa kwa kosa la kuolewa na mume mkristo huku dini…
Mama mzazi wa mbunge Zitto Kabwe amefariki dunia.
Ni taarifa nilizopata asubuhi ya June 1 2014 kuhusu kifo cha mama mzazi wa mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe aitwae Bi Shida ambapo aliethibitisha kifo hicho ni Zitto Kabwe…
Kurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo June 01 2013
Ni utaratibu wa millardayo.com kukupatia stori kubwa za Magazeti ya Tanzania kila siku kabla ya saa mbili kamili asubuhi kutoka kwenye kurasa za kila gazeti kuanzia ya Udaku, Michezo na hardnews kurasa…
Hizi ni pichi 2 zinazopata comments na likes nyingi kwenye page ya @Shaa_tz
Kama unam-follow kwenye instagram @Shaa_tz basi utakuwa umesha like au kuona jinsi comment na like nyingi zinazopata picha hizi. Sarah Kaisi amepost picha mbili akiwa kwenye boti, kama vipi zicheki…