Hili hapa dili kubwa kwa Dr. Dre, hatimaye Apple wanunua Beats by Dre.
Baada ya mazungumzo ya muda mrefu na dili iliyosubiriwa kwa hamu, hatimaye kampuni ya kielektroniki ya Apple imethibitisha kuwa itanunua kampuni ya Beats Electronics watengenezaji wa headphones za Beats by…
Watoto wenye vipaji vya kucheza 2014, mmoja katisha na hii ya Michael Jackson.
Kwenye dunia hii ambayo internet imekua ikihusika kuonyesha mambo mengi yanayotendeka duniani, tumeshuhudia vitu mbalimbali ambavyo vimekua vikubwa baada ya kufika kwenye internet ambapo mfano mzuri ni hawa watoto kwenye…
Wazungu hawajashindwa, wamekuja na hili jingine kwa Skype
Mtandao wa skype ambao umekua ukitumika na watu mbalimbali duniani kama njia ya kuwasiliana huku kila mmoja akipata nafasi ya kumuona mwenzake wa upande wa pili kwa njia ya video,…
Kurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo 29 May 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kukupatia stori kubwa za Magazeti ya Tanzania kila siku kabla ya saa mbili kamili asubuhi kutoka kwenye kurasa za kila gazeti kuanzia ya Udaku, Michezo na hardnews kurasa…
Dakika 7 za Halima Mdee na Waziri Tibaijuka bunge la bajeti May 28 2014
Kazi ya millardayo.com ni kuhakikisha unakuwa huru kufanya mambo yako kama kazi na masomo kisha ukitulia unakutana na kila kubwa la kila muda kwa sababu kazi yangu ni kuhakikisha hupitwi…
Exclusive: Pesa iliyotumika kwenye video mpya ya Diamond na Iyanya London, kolabo na Davido tena?
Wiki iliyopita Diamond Platnumz alikua London Uingereza kwa ajili ya kufanya show lakini pia vilevile kufanya video ya wimbo wake aliofanya na msanii Iyanya wa Nigeria. AyoTV na millardayo.com zimepata…
Kutoka kwenye show ya Baloziz… mmoja ameondoka aisee @Baloziz
Wakati tukiambiwa bia mpya a.k.a baba la gambe zote hapa town atazinduliwa Ijumaa hii May 30 2014 hii time tunaweza kuitumia pia kucheki show ya The Baloziz iliyoruka on EATV…
Picha 5 za harusi ya Kanye West na Kim Kardashian na za mtaani.
Najua stori ya Kanye West na Kim Kardashian kufunga ndoa sio mpya ila kilichokua kinasubiriwa sana ni picha za harusi yenyewe manake zilichelewa kutoka baada ya wawili hawa kufunga ndoa…
Msiba walioupata Manchester United leo May 28 2014
Mmiliki wa club ya soka ya Manchester United Malcolm Glazer alieinunua club hiyo toka mwaka 2005, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85 huku akiacha mke, watoto sita na…
Jinsi Mwanamke mjamzito alivyopigwa mawe hadi kufa kisa kaolewa na Mwanaume anayempenda.
Mwanamke mmoja ambaye alikuwa na ujauzito wa miezi mitatu nchini Pakistan amepigwa mawe hadi kufa nje ya jengo la mahakama kwa kosa la kuolewa na Mwanaume anayempenda badala ya mwanaume…