Baadhi ya washindi wa ligi kuu Tz bara 2013/2014 timu bora, kipa bora, mfungaji bora na pesa walizozawadiwa
Zawadi na tuzo zimetolewa kwa timu zilizofanya vizuri na wachezaji waliong'ara msimu wa ligi kuu ya Vodacom 2013/2014 na kukabidhiwa zawadi kwa thamani ya pesa na vikombe leo na mdhamini…
Picha kutoka nyumbani kwa Marehemu Mwigizaji Rachel usiku wa May 27.
Mpaka sasa taratibu za mazishi ambazo zimetangazwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie Steve Nyerere kupitia exclusive interview na millardayo.com zinaonyesha Rachel atazikwa Alhamisi hii kwenye makaburi ya Kinondoni Dar es…
Ishu: Data halisi za ndege ya Malaysia iliyopotea zawekwa hadharani.
Hatimaye serikali ya Malaysia imeachia hadharani data halisi zilizotumika kugundua kuwa ndege iliyopotea ya MH370 ilianguka Kusini mwa bahari ya Hindi. Data hizo kwa mara ya kwanza zilionyeshwa kwa ndugu…
Taarifa mpya ya yule mwanamke anayesubiri kunyongwa Sudan, ajifungua akiwa gerezani.
Yule mwanamke wa Sudan ambaye anasubiri kutumikia adhabu ya kifo baada ya kuisaliti dini yake, amejifungua mtoto akiwa gerezani karibu na mji wa Khartoum kwa mujibu wa mwanasheria wake. Mwanamke…
Damu za watoto wa Tanzania inatumiwa na wanasayansi kutengeneza chanjo ya Malaria.
Damu kutoka kwenye kundi moja la watoto wa kitanzania iliyogundulika kuwa na kinga ya asili dhidi ya Malaria, sasa inawasaidia wanasayansi hao kutoka nchini Uingereza kutengeneza chanjo madhubuti ya ugonjwa…
You heard ya May 27 2014 inamuhusu Producer Lucci na ndoa yake
Ni stori zinazopitia kwa Soudy Brown ambazo mara nyingi huwa ni zile zinazokuwa chini ya kapeti hivi lakini anazifichua ambapo ya May 27 2014 inamuhusu producer Lucci ambae stori ni…
Ushahidi wa T.I juu ya usaliti uliofanywa na mkewe na bondia Mayweather.
Tayari tumeona bondia Mayweather akitoa ushahidi wake kufuatia ugomvi mkubwa ulioibuka kati yake ya Rapa T.I juu ya usaliti na mke wake Tameka au Tiny na kusema Tiny ndie aliyesababisha…
Hiki ndio kiwanda kikubwa cha magari kilichofungwa India, madeni yatajwa kuwa sababu.
Kampuni kubwa ya utengenezaji wa magari aina ya Ambassador ya nchini India imefunga huduma zake za uzalishaji kwa madai ya kugubikwa na madeni na kukosekana na mahitaji ya ya gari…
Unaambiwa hii ndoa ilidumu kwa siku 13 tu!
Inaweza kuingia kwenye headlines kama tukihusisha countdown ya ndoa zilizodumu kwa muda mfupi tena zikifungwa kwa baraka zote kuanzia kwa wazazi hadi kanisani ambapo Bonface Oduor ambaye ndiye bwana harusi…
Unajua ni wanajeshi na polisi wangapi wamepangwa kwa ajili ya kombe la dunia Brazil? Story iko hapa
Mawaziri wa ulinzi nchini Brazil wameweka wazi kuwa zaidi ya vikosi vya kijeshi laki moja na nusu (150,000) vitasambazwa nchini humo kuhakikisha kunakuwa na usalama wa kutosha wakati mashindano ya…