Kumbe meneja wa Michael Jackson alipanga “kumteka” staa huyo?, Story iko hapa mtu wangu
Meneja wa aliyekuwa mfalme wa Pop duniani Michel Jackson alijaribu kumteka staa huyo kumuokoa kutokana na dawa za kulevya. Meneja huyo Ron Weisner ambaye ndiye aliyekuwa akidhibiti taaluma na kipaji…
Shindano la Big brother Africa linarudi… mabadiliko ya 2014 yako hapa
Unaambiwa shindano hili ambalo limekua likifanyika na kuhusisha Watanzania toka lilipoanza ambapo ni Mtanzania mmoja tu (Richard) ndio alichukua ushindi katika miaka yote hiyo ya ushiriki. Ilizoeleka shindano huwa linaanza…
Umesikia kuhusu Nikki Mbishi kuleta utata,kisa jamaa kumchukua Dadaake.
Rapa aliyekua akiwakilisha kundi la Lunduno Nikki Mbishi 'Baba Malcom' leo ameingia kwenye headline baada ya kusemekana kumletea utata jamaa ambaye anatoka na mdogo wake wa kike,Soud Brown ameonea naye…
Picha 10 za gari analotembelea H.baba kwa sasa
Maisha ya mastar wetu wa Kitanzania yanazidi kukua zaidi na kuwapelekea kumiliki baadhi ya vitu vya gharama kutokana na jitihada zao na kujipanga vizuri na kuepuka kulewa sifa. Leo kwenye…
Unaambiwa taarifa mpya kuhusu ile ndege ya Malaysia iliyopotea kutolewa kesho.
Taarifa ya picha kamili za Satelite kuhusu ndege ya Malaysia iliyopotea MH370 zitatolewa kesho kwa mujibu wa maafisa wa nchi hiyo. Kaimu waziri wa usafirishaji wa Malaysia Hishammuddin Hussein ametoa…
Wameona massage ya binadamu haitoshi sasa wameleta hii ya Nyoka. (Picha 4)
Ukisikia maajabu makubwa ambayo hufikirii kukutana nayo hapa duniani hii ni moja wapo, Kuna mbuga moja ya kufugia nyoka wakubwa inatoa huduma ya "massage" kwa binadamu kwa kutumia nyoka hao…
Video: Tazama wimbo ulioimbwa na wachezaji wa Real Madrid kusherehekea ubingwa wa ulaya
Baada ya kushinda taji la 10 la kihistoria la ligi ya mabingwa wa ulaya, timu nzima ya Real Madrid iliingia studio kuimba wa #HalaMadrid. Wimbo huo tayari umetoka utazame hapo…
Kuhusu mama aliyejifungua mapacha 4,sikiliza Hekaheka ya Mei 26.
Kikawaida hii ni stori kubwa kusikika mama amejifungua watoto 4 kwa pamoja yaani mapacha 4 ambao wamezaliwa pamoja ingawa mara chache tumewahi kuwasikia wengine pia wakijifungua idadi kama hii au…
Haya hapa magoli yote 17 aliyoyafunga Cristiano Ronaldo ulaya – yaangalie hapa
Cristiano Ronaldo ameibuka mfungaji bora wa michuano ya mabingwa wa ulaya kwa mara ya pili mfululizo, msimu huu na msimu uliopita. Nahodha huyo wa Ureno amefunga magoli 17 msimu huu,…
Raia wenye hasira wawashambulia Bey na Jay Z kwa kuikacha harusi ya Kanye.
Hii ishu inaonekana kuwa imewagusa watu wengi sio Kim na Kanye peke yake kwasababu mashabiki wenye hasira hivi sasa wameamua kutowaacha hivi hivi na kuwashambulia wanandoa Queen Beyonce na mumewe…