Picha ya kwanza kuiona ya Joh Makini na Lord Eyez toka WEUSI watangaze kumsimamisha
March 4 2014 msemaji wa kampuni ya WEUSI Nikki wa II aliongea na AyoTV na kukiri 'ni kweli kampuni ya WEUSI imemsimamisha Lord Eyez kikazi kwa sababu kila kampuni duniani…
Wale wa Wema Sepetu…. video yake akipiga picha za Vibe Magazine ipo hapa
Ni mwigizaji staa wa Tanzania ambae kabla ya kukutana na Marehemu Steven Kanumba hakuwahi kuwaza kama angekuja kufanya uigizaji kwa kiwango hiki. Baada ya umaarufu wake staa huyu ametokea kwenye…
Staa wa hiphop Wiz Khalifa alipokamatwa na bangi Airport na akaendeleza ‘selfie’
Staa wa hiphop kutoka Marekani Wiz Khalifa (26) Jumapili ya May 25 2014 amedakwa na polisi katika uwanja wa ndege huko Texas Marekani baada ya kukutwa na kitu kinachodaiwa kuwa…
Umeiona hii ya Ray C leo? kamuokoa yule mrembo wa video ya Ice cream ya Noorah
Unaikumbuka nyimbo ya Ice Cream iliyoimbwa na Noorah? Ni nyimbo nzuri iliyotamba miaka iliyopita na kuvuma zaidi baada ya video yake kutoka ambapo ndani yake kulikuwa na Video queen aliyefahamika…
Mwanafunzi aua watu sita kwa wakati mmoja, ni mtoto wa mtayarishaji maarufu wa filamu
Polisi nchini Marekani wamethibitisha kuwa kijana Elliot Rodger mwenye miaka 22 ambaye ni mtoto wa mtengeneza filamu maarufu, ndie aliyefanya mauaji ya watu sita kwa pamoja jijini California. Kijana huyo…
Umeipata hii mtu wangu?! Hayati Witney Houston kutengenezewa filamu, Story kamili iko hapa.
Mwigizaji wa maarufu wa filamu wa nchini Marekani Angela Basset anatarajia kuongoza filamu itayohusu maisha halisi ya aliyekuwa mwanamuziki nguli duniani Witney Houston. Kituo cha Televisheni cha Lifetime cha Marekani…
Licha ya urafiki mkubwa walionao, Wanandoa Jay Z na Beyonce waipotezea harusi ya mshkaji wao Kanye West
Hatimaye Rapa maarufu wa muziki wa nchini Marekani Kanye West na mwanadada anayemake headlines kila kukicha Kim Kardashian wamefunga pingu za maisha na kuwa mume na mke huko Florence nchini…
Magazeti ya leo May 25 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kukupatia stori kubwa za Magazeti ya Tanzania kila siku kabla ya saa mbili kamili asubuhi kutoka kwenye kurasa za kila gazeti kuanzia ya Udaku, Michezo na hardnews kurasa…
Picha 19 za show ya KILI TOUR Moshi Kilimanjaro May 24 2014
Ni show ambayo ilifanyika kwenye uwanja wa Ushirika Moshi Kilimanjaro na kuhudhuriwa na idadi kubwa ya watu wa nguvu wanaosupport bongofleva kuona list ya wakali akiwemo Ommy Dimpoz, Ney wa…
Idadi ya Wanawake wanaoendesha Ndege, Treni, Malori na Mabasi Tanzania imetajwa na Wizara ya uchukuzi
Ni mara chache sana tunapata takwimu kama hizi kutoka kwenye ngazi ya juu ya serikali ya Tanzania ndio maana hii stori imekua kubwa baada ya kutolewa na Waziri wa uchukuzi…