Picha 6 za mazishi ya Amina Ngaluma leo mei 24.
Leo yalikua ni Mazishi ya aliyekua muimbaji wa African Revolution na baadae Double M Sound Amina ngaluma ambaye alifariki mchana wa Mei 15 akiwa Thailand ambako ndiko alikohamishia makazi yake…
Kuhusu bomu lililolipuliwa leo kwenye bunge la Somalia.
Taarifa iliyosambaa kuhusu kulipuliwa kwa jengo la bunge la Somalia imehusishwa na Kundi la wapiganaji wa kiisilamu la Al Shabaab ambapo inasemekna kundi hilo limeshambulia bunge la Somalia na kusababisha…
Baada ya kundi hatari la vijana liitwalo ‘Panya Road’ Dar, Polisi imetoa tamko
Ni kipindi cha katikati ya wiki hii ambapo tulianza kusikia kuhusu kikundi kinaitwa Panya road ambapo kwa wakazi wa maeneo ya kigogo mpaka Mburahati na maeneo mengine kama Ilala na…
Kwa mashabiki wa Kim Kardashian na Kanye West, shamra shamra za harusi misafara ya magari na mengine
Shamrashamra za harusi ya mastaa wakubwa wanaomake headlines kwa sasa nchini Marekani na duniani kwa ujumla Kim Kardashian na Kanye West wanaotarajia kufunga ndoa hii leo zimezidi kushika kasi baada…
Mshindi wa Big Brother Africa achumbiwa kwa siri, akanusha kuolewa
Mshindi wa zamani wa shindano maarufu la Big Brother Africa Karen Igho kutoka Nigeria amekanusha taarifa zinazoendelea kusambaa mtandaoni na katika blogs mbalimbali kuwa tayari amefunga ndoa. Hii ni baada…
Uchaguzi wa Malawi umefutwa, unaambiwa Rais hatogombea tena.
Rais Joyce Banda wa Malawi ameamuru kusitishwa mara moja kwa shughuli ya kuhesabu kura na kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu wa nchi hiyo ulifanyika jumanne iliyopita. Akizungumza Ikulu mjini Lilongwe…
Unaweza usiamini Mwanamuziki Tony Braxton anachowafanyia watoto wake, Soma anachokifanya
Katika harakati za kutafuta mbinu bora za malezi mazuri kwa watoto wake, Nyota wa muziki wa R&B wa nchini Marekani Tony Braxton anafanya jitihada za kuwafundisha watoto wake usimamizi mzuri…
Breaking:Jengo la Bunge la somalia lashambuliwa mei 24.
Kutoka Somalia inasemekana kuna Milipuko mbalimbali na risasi zimesikika kutoka kwenye majengo ya bunge la Somalia yakishambuliwa mjini Mogadishu huku wabunge ikisemekana wapo ndani kwenye mkutano. Naendelea kuzifatilia kwa ukaribu…
Magazeti ya leo May 24 2014 na stori za Udaku, Michezo na Hardnews
Ni utaratibu wa millardayo.com kukupatia stori kubwa za Magazeti ya Tanzania kila siku kabla ya saa mbili kamili asubuhi kutoka kwenye kurasa za kila gazeti kuanzia ya Udaku, Michezo na hardnews kurasa…
Good news kuhusu ushindi wa timu ya soka ya Tanzania U-15
Tanzania inaendelea kufanya vizuri kwenye michezo ya Afrika kwa vijana (AYG) kwenye mpira wa miguu kwa vijana wenye umri chini ya miaka 15 baada ya leo (Mei 23 mwaka huu)…