List ya waigizaji matajiri duniani, Shahrukh Khan wa India katisha kwenye list
Wapenzi wengi wa filamu duniani watakuwa wanalitambua jina lake ambapo kwa Tanzania ni maarufu zaidi uswahilini lakini duniani ndio anatajwa kuwa muigizaji anayejulikana zaidi. Jina lake ni Shahrukh Khan ambae…
Dakika 18 za kusikiliza Magazeti yakisomwa redioni leo Mei 23
Ni utaratibu wa millardayo.com kuhakikisha hata kama ilitokea wakati wa tukio halisi ulikua bize basi si vibaya unapopata muda unapitia hapa kwa ajili ya kuangalia nini kilikupita,kwa hapa nimekurekodia magazeti…
Polisi wanamchunguza David Moyes, anadaiwa kumpiga huyu kijana kwenye hii baa
Kocha David Moyes ambae alifukuzwa kuiongoza Manchester United mwezi uliopita alikwenda kwenye hii Baa yeye na rafiki zake ambapo kwenye mida ya saa nne usiku ishu ndio ikatokea. Polisi wa…
Magazeti ya leo May 23 2014 na stori za Udaku, Michezo na Hardnews
Ni utaratibu wa millardayo.com kukupatia stori kubwa za Magazeti ya Tanzania kila siku kabla ya saa mbili kamili asubuhi kutoka kwenye kurasa za kila gazeti kuanzia ya Udaku, Michezo na hardnews kurasa…
AyoTV: Kuhusu Bibi Bomba kudhalilisha mabibi – Ruge Mutahaba atoa ufafanuzi
Mapema wiki hii zilibuka tuhuma kwamba kipindi cha Bibi Bomba kinachorushwa katika kituo cha Clouds TV kimekuwa kikidhalilisha akina bibi wanaoshiriki katika shindano hilo la Bibi Bomba. Ayo TV ilipata…
Hekaheka ya May 22 2014 inawahusu wale vijana wa Panya road
Kutoka idara ya Hekaheka ambapo ni maktaba nyingine ya habari na mikasa inayotokea mtaani hii leo ni kuhusu vijana waliojikusanya na kuamua kujiita Panya Road ambao wamekua kero kwa wakazi…
Tazama video mpya ya wimbo wa kombe la dunia ya Shakira, Messi,Neymar na wengine ndani
Nadhani wote mnakumbuka ule wimbo maalum kwa ajili ya michuano ya kombe la dunia mwaka 2010 wa 'wakawaka' ulioimbwa na Shakira ambapo this time kwenye kombe la dunia baada ya…
X Men ‘Days of future past’ kuanza kuonyeshwa May 23, cheki na ratiba ya movie za wiki hii
Wapenzi wa movie za X Men wiki hii ni yenu kwasababu movie mpya imetoka na hii imepewa jina la Days of future past. Cheki trailer yake na pia kama una-plan…
Picha zingine 8 kutoka Mtwara.
Nambiwa kuwa kuna baadhi ya maduka kwa sasa wamefungua na wanaendelea na kutoa huduma zao kama kawaida na hii ni baada ya ujumbe mfupi wa maandishi 'Sms' iliyokuwa ikisambazwa na…
Ukimya wa Mtwara May 22 2014 kuhusu lile sekeseke la gesi.
Siku kama ya leo ni siku ambayo ipo kwenye kumbukumbu ya kilichotokea Mtwara kwenye lile sekeseka la kudai gesi ambapo Wananchi wa Mtwara wameamua kuifanya kama siku ya kukumbuka wale…