Full Time ya Taifa stars vs Zimbabwe May 18 2014
Mechi kati ya Tanzania na Zimbabwe imemalizika kwa matokeo ya ushindi wa goli la Taifa Stars huku Zimbabwe ikitoka bila kupata chochote ambapo goli la stars lilifungwa na John Bocco…
Cristiano Ronaldo awafunika Messi na Diego Costa – atwaa tuzo ya PICHICHI
Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo amekuwa mfungaji bora na kutwaa tuzo ya PICHICHI ambayo hutolewa kwa mwanasoka anayekuwa kafunga magoli kwenye msimu mmoja wa La liga. Ronaldo…
Tazama magoli ya Arjen Robben na Muller yalivyoipa Bayern ubingwa nne ndani ya msimu huu
Magoli ya winga Arjen Robben na kiungo Thomas Muller yaliwafanya Bayern Munich kutwaa ubingwa wa kombe la FA la Ujerumani maarufu kama DFB Pokal. Kombe hilo ni la nne ndani…
Baada ya siku 3,283 hatimaye Arsenal washerehekea ubingwa – angalia video hapa
Klabu ya Arsenal jana ilimaliza ukame wa siku 3,283 bila kutwaa ubingwa wa aina yoyote baada ya kuifunga Hull City 3-2 kwenye mchezo wa fainali ya kombe la FA Cup. Arsenal…
Video: Hivi ndivyo Atletico Madrid walivyochukua ubingwa wa La Liga mbele ya Barca
Atletico Madrid jana usiku walitawazwa kuwa mabingwa wapya wa La Liga baada ya kutoka sare ya 1-1 dhidi ya FC Barcelona kwenye mchezo wa mwisho wa ligi kuu ya Spain…
Kama ulimisi mchezo wa Real Madrid vs Espanyol – unaweza kutazama magoli hapa
Real Madrid jana walimaliza msimu wa La Liga na ushindi wa mnono dhidi ya Espanyol. Wakicheza kwenye uwanja wao wa nyumbani Madrid aliweza kutoka na ushindi wa 3-1, magoli yakifungwa…
Hii ni leo mtu wangu wa nguvu Club bilicanas
Hii ni party iliyoandaliwa na cloud 9 ya Clouds Tv ambayo wameshirikiana na Club bilicanas na wameungana kukuletea burudani zaidi ya 5 kwa jukwaa moja,itakua leo pale billicanas kuanzia saa…
Magazetini leo Jumapili May 18 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kukupatia stori kubwa za Magazeti ya Tanzania kila siku kabla ya saa mbili kamili asubuhi kutoka kwenye kurasa za kila gazeti kuanzia ya Udaku, Michezo na hardnews kurasa…
Kura za Diamond BET Awards kwenye kituo cha redio V101.9
Meneja wa Diamond ameongea na millardayo.com saa saba mchana May 18 2014 na kusema link hii hapa chini ambayo ilipatikana kupitia kwa mwandishi/mpigapicha wa Diamond ni ya kituo cha Redio…
Ushindi wa Atletico Madrid na Arsenal May 17 2014
Atletico Madrid na Arsenal zimeshinda kwenye mechi zao zilizokua zinasubiriwa kwa hamu hata na wapenda soka wasiozishabikia May 17 2014.