Baadhi ya picha za show ya Diamond Platnumz na Wema kwenye stage Mtwara jana
May 2 2014 Mtwara ulikua usiku wa Diamond Platnumz na Wema Sepetu kwenye show iliyoandaliwa na Vodacom Makonde beach usiku ambao ulipewa jina la heels and ties ambapo hizi ni…
Ukimya wa Ally Kiba utavunjwa na kolabo na huyu staa wa kimataifa?
Ni kitambo sana Ali Kiba hajasikika kwenye single yake mpya isipokua kolabo tu ambayo ni single ya Tunda Man ila yeye mwenyewe amemisika sana kwenye single zake. Tunda Man ambae…
#Exlusive: Kilichosemwa na Polisi wa Kenya jinsi gari la Freeman Mbowe lilivyokamatwa
Kwenye magazeti ya April 30 2014 Tanzania miongoni mwa stori kubwa ilikua ni hii ya kukamatwa kwa gari la kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni ambae pia ni mwenyekiti…
Jirani msumbufu.. kila siku wimbo huohuo tu kwa sauti kubwa
Najua hata bongo hii huwa inatokea pale mnapokua Wapangaji kwenye nyumba moja au majirani alafu chumba cha jirani kila siku unasikia nyimbo za msanii mmoja tu tena zinapigwa kwa sauti…
Kurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo May 03 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania.
Kama ulidhani mvua ni mbaya Dar tu, hii ni Marekani na magari yanazama livelive. ( picha 5 & video )
Wakati mvua kubwa zimenyesha Dar es salaam siku kadhaa zilizopita baadhi ya watu waliilalamikia Serikali kwamba imefanya uzembe manake kama ingekua imejenga miundombinu vizuri, maeneo ambayo yangekumbwa na maafuriko ni…
Good news ya Clouds TV ya kimataifa, kituo cha kwanza cha Kiafrika!
Ni rasmi kwamba Clouds Media International imepewa leseni ya kurusha matangazo katika nchi za umoja wa falme za kiarabu (UAE) ambapo mkurugenzi Mtendaji Joseph Kusaga amesema sasa kituo cha Clouds…
Ni zamu ya Kenya tena, hii ndio video nyingine mpya iliyofungiwa
Mpaka sasa video hii imetazamwa zaidi ya mara laki moja na elfu 30 kwenye mtandao wa Youtube toka ianze kuonyeshwa April 29 2014 ikiwa ni video ya kipekee na ya…
Taarifa rasmi ya Yanga kuhusu usajili wa Domayo na Kavumbagu Azam FC
Uongozi wa klabu ya Young Africans unapenda kuwajulisha wanachama wake, wapenzi wa soka na wadau kwa ujumla kuwa taarifa za kuhama kwa wachezai wake Didier Kavumbagu na Frank Domayo kwenda…
Kuhusu mlipuko uliotokea usiku wa kuamkia leo Nigeria na kuua zaidi ya watu 10.
Usiku wa kuamkia leo Maafisa nchini Nigeria wametoa taarifa kuhusu mlipuko uliotokea na kuua watu 19 katika kituo cha basi katika mji mkuu wa taifa hilo Abuja. Kwa mujibu wa…