Taarifa nyingine waliyopewa ndugu wa abiria waliopotea na ndege ya Malaysia.
Toka March 8 2014 mpaka leo ikiwa ni May, ndege ya Malaysia iliyokua imebeba zaidi ya watu 200 haijulikani ilipo baada ya kupotea ikiwa inatokea Malaysia kwenda Beijing China. Kwa…
Pale mtoto wa miaka miwili alipojitokeza mbele ya zaidi ya watu 50 na kufanya yake.
Mara nyingi inatokea kwenye matukio ya kawaida tu lakini kinachofanya iwe stori ni umri mdogo alionao mtoto alafu akafanya vitu vinavyofanywa na Wazazi wake au wengine waliomzidi umri kwa urefu…
Kumbe hata Marekani kuna wanaohukumiwa kunyongwa kimakosa?
Uchunguzi mpya uliofanywa nchini Marekani unaonyesha mmoja kati ya wafungwa 25 wa mauaji hakufanya kosa hilo hivyo zaidi ya asilimia 4 kati ya wafungwa wa kimarekani wamehukumiwa kifo lakini hawakutenda…
Dakika 3 nyingine za kukumbukwa bunge la katiba, majibizano na kauli
Bunge la katiba limeahirishwa mpaka August 2014 ili kupisha bunge la bajeti ambapo kwa mujibu wa maelezo ya Waziri wa fedha Saada Salum Mkuya ambae pia ni mjumbe, bunge hilo…
Hii ndiyo Kauli ya Yanga baada ya Kavumbagu na Damayo kujiunga na Azam Fc
Baada ya kuonekana kwa picha za Wachezaji wawili wa timu ya Yanga Didier Kavumbagu na Frank Damayo,Uongozi wa Yanga umetoa yao ya moyoni juu hiki kilichoonekana kupitia mitandao mbalimbali ya…
Baada ya kupigwa Marufuku kuingia kwenye mechi zote,hiki kingine kipya cha yule shabiki aliyerusha ndizi uwanjani.
Stori ya shabiki aliyerushia ndizi Alves imekua ni stori kubwa ambayo imepokelewa na mataifa mbalimbali duniani huku wengi wakionekana kumuunga mkono Alves,Polisi nchini Uhispania,wamesema wamemkamata shabiki yule aliyemtupia ndizi mchezaji…
Msikilize Mbwiga wa Mei 1.
Mtekenyo wa Mbwiga wa Mbwiguke leo Mei 01 umezungumzia timu ya Ashanti ambayo wakati wanelekea Kigoma kufika mbele wakapotea njia. 87.5 Clouds Fm inasikika ukiwa Shinyanga. Bonyeza play kusikiliza
Huyu ndie mfungwa aliefariki dakika 13 baada ya kuchomwa sindano, kisa mauaji ya huyu binti
Mfungwa mmoja amefariki Marekani kwa mshtuko wa moyo baada ya kuchomwa sindano yenye lethal (lethal injection) yenye Mchanganyiko wa dawa tofauti kwa ajili ya kuua. Clayton Lockett alitakiwa kuuliwa baada…
Kipande kinachowasumbua wanaosafiri kwenda mikoa ya kusini mwa Tanzania… ni Shidah!
Kama hujawahi kusafiri kwenda mikoa ya kusini naomba nikusafirishe kwa picha hizi ambazo zinaonyesha hali ya kipande kibovu kinachowakalisha muda mwingine kwa zaidi ya saa 10 wasafiri wa mikoa ya…
Pharrell anasema wimbo wa ‘happy’ haukuwa wake…
Baada ya wiki kadhaa ya rekodi kuvunjwa na single yake ya 'happy' mwimbaji Pharrell Williams kwenye show ya Howard Stern ameeleza wazi kwamba single hiyo sio yake bali ni wimbo…