Baada ya kupigwa Marufuku kuingia kwenye mechi zote,hiki kingine kipya cha yule shabiki aliyerusha ndizi uwanjani.
Stori ya shabiki aliyerushia ndizi Alves imekua ni stori kubwa ambayo imepokelewa na mataifa mbalimbali duniani huku wengi wakionekana kumuunga mkono Alves,Polisi nchini Uhispania,wamesema wamemkamata shabiki yule aliyemtupia ndizi mchezaji…
Msikilize Mbwiga wa Mei 1.
Mtekenyo wa Mbwiga wa Mbwiguke leo Mei 01 umezungumzia timu ya Ashanti ambayo wakati wanelekea Kigoma kufika mbele wakapotea njia. 87.5 Clouds Fm inasikika ukiwa Shinyanga. Bonyeza play kusikiliza
Huyu ndie mfungwa aliefariki dakika 13 baada ya kuchomwa sindano, kisa mauaji ya huyu binti
Mfungwa mmoja amefariki Marekani kwa mshtuko wa moyo baada ya kuchomwa sindano yenye lethal (lethal injection) yenye Mchanganyiko wa dawa tofauti kwa ajili ya kuua. Clayton Lockett alitakiwa kuuliwa baada…
Kipande kinachowasumbua wanaosafiri kwenda mikoa ya kusini mwa Tanzania… ni Shidah!
Kama hujawahi kusafiri kwenda mikoa ya kusini naomba nikusafirishe kwa picha hizi ambazo zinaonyesha hali ya kipande kibovu kinachowakalisha muda mwingine kwa zaidi ya saa 10 wasafiri wa mikoa ya…
Pharrell anasema wimbo wa ‘happy’ haukuwa wake…
Baada ya wiki kadhaa ya rekodi kuvunjwa na single yake ya 'happy' mwimbaji Pharrell Williams kwenye show ya Howard Stern ameeleza wazi kwamba single hiyo sio yake bali ni wimbo…
Huyu ndie amemtukana Rais na kusema aache bangi, kilichofata ni hiki.
Sio jambo la kawaida mtu kujiamini na kumtukana Rais wa nchi na taarifa hiyo kuripotiwa kwenye vyombo vya habari lakini kwa Samuel Onkwami imekua rahisi kwake ila imemgharimu maana sasa…
Picha 40 za jinsi ilivyokua kwenye mwaliko wa WEUSI usiku wa April 30 2014
Kampuni ya WEUSI ambayo ina wasanii kama Joh Makini, Nikki wa II na G Nako ilifanya ile party isiyokua na kiingilio bali kadi maalum kwa kila aliealikwa ili kuitazama kwa…
Gari la Freeman Mbowe lililokamatwa na Polisi Kenya
Ni magazeti kadhaa ya leo Tanzania ambayo yameripoti kuhusu kukamatwa kwa gari la Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe huko Mombasa Kenya. Jambo leo wameripoti kwamba gari la Mbowe lililokamatwa ni…
Magazeti ya leo May 01 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania.
Full Time ya Chelsea vs Atletico Madrid April 30 2014
Ni game ambayo Chelsea ndio walitangulia kupata goli la kwanza kupitia kwa Torres kwenye dakika ya 36 lakini likalipwa na Adrian Lopez kwenye dakika ya 44 kisha Costa akaongeza jingine…