Ushaona jinsi video ya Beyonce ‘Pretty Hurts’ ilivyotengenezwa…cheki hapa.
Beyonce anaendelea kutoa vitu vizuri kwa ajili ya mashabiki wake ambapo hivi karibuni alitoa video ya 'Pretty Hurts'. Cheki jinsi ilivyotengenezwa na uangalie video kamili hapo chini https://www.youtube.com/watch?v=mPpRTVYRm5o https://www.youtube.com/watch?v=LXXQLa-5n5w
Ajali ya meli yasababisha waziri mkuu ajiuzulu cheo chake.
Baada ya ajali ya meli huko South Korea serikali ilikosolewa kwa jinsi ilivyodili na ajali hiyo. Meli hiyo ilivyozama sehemu kubwa ya abiria walikuwa ni wanafunzi na watu kama 100…
Hawa ndiyo wachezaji aliowaongeza kocha mpya wa Taifa Stars.
Kocha mpya wa Taifa Stars Mart Nooij ameongeza wachezaji tisa katika kikosi hicho kinachojiandaa kwa mechi ya kirafiki na timu ya Malawi(The Flames) ambayo itakachezwa Mei 4 mwaka huu katika…
Kanisa katoliki kutangaza watakatifu leo April 27 Vatican.
Kanisa katoliki leo linategemea kuwatangaza watakatifu ambao huandikwa katika kitabu cha maisha ya watakatifu,Papa John Paul II na John XXIII wanatarajiwa kutangazwa watakatifu katika tukio litakaloongozwa na kiongozi mkuu wa…
Kurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo April 27 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania.
Matokeo ya Manchester United kwenye mechi ya kwanza toka Giggs apewe timu.
Ikiwa ni mechi ya kwanza toka Ryan Giggs achaguliwe kuchukua kwa muda nafasi ya David Moyes alietimuliwa, Manchester United imemiliki headlines kwa sauti kubwa baada ya ushindi mkubwa ilioupata leo…
Sababu za D.Knob kufunga ndoa ya kimyakimya.
Hit maker wa single mpya ya Nishike mkono D knob leo ame-amplify sababu za kuamua kufunga ndoa ya kimya kimya mwaka 2009 huku idadi ya watu waliohudhuria pamoja na maharusi…
Magazeti ya leo April 26 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania.
Msikilize Mbwiga wa April 25.
Mtekeneyo wa Mbwiga wa Mbwiguke kila Ijumaa huwa unakuwa live kupitia Sports Extra ambapo kama kawaida yake hapa kazungumzia miongoni mwa mechi zilizowahi kuchezwa nje ya nchi ilikua 1978 na…
Huu ni muendelezo wa You heard ya jana inayomhusu Ney wa Mitego.
Kupitia You heard ya jana April 24 alisikika dada mmoja ambaye alisema alitaka kutekwa na rafiki wa Ney wa Mitego ambapo leo Ney wa Mitego mwenyewe kahusishwa kwenye sakata hili…