Msikilize Mbwiga wa April 25.
Mtekeneyo wa Mbwiga wa Mbwiguke kila Ijumaa huwa unakuwa live kupitia Sports Extra ambapo kama kawaida yake hapa kazungumzia miongoni mwa mechi zilizowahi kuchezwa nje ya nchi ilikua 1978 na…
Huu ni muendelezo wa You heard ya jana inayomhusu Ney wa Mitego.
Kupitia You heard ya jana April 24 alisikika dada mmoja ambaye alisema alitaka kutekwa na rafiki wa Ney wa Mitego ambapo leo Ney wa Mitego mwenyewe kahusishwa kwenye sakata hili…
Unazipenda kazi za Iyanya?…cheki hapa video yake mpya.
Kwa mara ya kwanza alifanya show Tanzania kwenye show ya Fiesta 2013 na pia amefanya collabo na Diamond wakiwa Nigeria. Kama unapenda kazi kutoka kwake utafurahia na hii video https://www.youtube.com/watch?v=Yc8D7ppw03I
Jinsi jamaa feki wa Sumatra alivyokamatwa,sikiliza Kupitia Hekaheka ya leo.
Matukio ya utaperi ya namna hii yanazidi kumake headline kama utakumbuka kuna trafic feki aliwahi kukamatwa kipindi cha nyuma sasa Hii nyingine na imetokea 88.5 Dar eneo la Sinza ambapo…
Hii ni kali nyingine kutoka Kenya,Cheki ugumu wa sheria hii mpya inayotaka kuundwa.
Sheria mpya inatengenezwa Kenya sheria hiyo itawataka wanaowazungumzia wakuu wa serikali kufanya mazoezi ya kutosha kwani sheria hii ikipitishwa basi inamaana kwamba Rais,Naibu wake na wake zao pekee ndiyo watakao…
Baada ya kukutana kwa siku 67,Bunge maalum la katiba kuahirishwa leo.
Bunge maalum la katiba leo April 25 linahairishwa bila kupitisha ibara hata moja kati ya 240 ambazo zimo katika rasimu ya katiba bunge hili linahairishwa mpaka mwezi Agosti mwaka huu…
Sikiliza Magazeti yakisomwa Redioni leo April 25.
Kawaida yangu ni kuhakikisha hupitwi na kitu chochote kinachonifikia,hapa nimekurekodia Magazeti yakisomwa redioni na kuchambuliwa kupitia kipindi cha Power Breakfast. 92.9 Clouds Fm inasikika ukiwa Iringa. Bonyeza play kusikiliza.
Magazetini leo April 25 2014 Udaku, Michezo na Hardnews
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania.
Msikilize Mbwiga wa April 24.
Hizi ni taarifa za kimichezo ambazo hapa zinaletwa kwako na Mbwiga wa Mbwiguke akisimulia baadhi ya mechi za kipindi cha nyuma namna zilivyokuwa zikichezwa na vioja vilivyokuwa vikitokea kwenye mechi…
Maneno na Ratiba ya mikutano waliyotoa Kamati ya Tanzania kwanza nje ya Bunge
Kamati ya Tanzania kwanza ya Nje ya Bunge Maalum la Katiba leo wametoa yamoyoni mbele ya waandishi wa habari juu mwenendo mzima wa Bunge maalum la Katiba baada ya kutoridhishwa…