Msikilize Mbwiga wa April 24.
Hizi ni taarifa za kimichezo ambazo hapa zinaletwa kwako na Mbwiga wa Mbwiguke akisimulia baadhi ya mechi za kipindi cha nyuma namna zilivyokuwa zikichezwa na vioja vilivyokuwa vikitokea kwenye mechi…
Maneno na Ratiba ya mikutano waliyotoa Kamati ya Tanzania kwanza nje ya Bunge
Kamati ya Tanzania kwanza ya Nje ya Bunge Maalum la Katiba leo wametoa yamoyoni mbele ya waandishi wa habari juu mwenendo mzima wa Bunge maalum la Katiba baada ya kutoridhishwa…
Hiki ndio kiatu cha Cristiano Ronaldo alichovaa jana vs Bayern Munich na kuvunja hii rekodi
Usiku wa jana kwenye game ya ligi ya mabingwa ulaya Real Madrid vs Bayern Munich mshambuliaji Cristiano Ronaldo alirudi uwanjani baada ya kukosekana kwa wiki mbili ambapo pamoja na kurudi…
Hizi ndizo zawadi zitakazotolewa na Vodacom kwa washindi wa Msimu uliopita.
Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom April 24 imetangaza zawadi kwa mabingwa wa ligi kuu ya Vodacom kwa msimu uliopita ambao mabingwa walitangazwa kuwa ni Azam Fc,Ofisa Uhusiano wa…
Ripoti: idadi ya watoto waliolawitiwa Tanzania mwaka 2013
Ripoti ya kituo cha sheria na haki za binadamu nchini Tanzania imesema watoto wapatao 800 walilawitiwa mwaka 2013.Ripoti ya shirika hilo inasema kwamba kumekuwa na ongezeko kubwa la vitendo vya…
Sikiliza sauti ya Mrisho Mpoto akitoa sababu ya kwanini havaagi viatu.
Msanii Mrisho Mpoto ambaye alichukua umaarufu kwa aina ya uimbaji ambao hadi leo bado yupo peke yake na style ya kuimba kama anaongea. Kitu kingine cha tofauti Mrisho huwa hapendi…
Serikali yatenga zaidi ya bilioni 29 ili kuwawezesha wabunge wa bunge maalum la katiba.
Serikali yatenga zaidi ya Shilingi Bilioni 29 ili kuwawezesha zaidi ya wajumbe 620 wa bunge maalum la katiba kuketi na kujadili sura 17 za rasimu ya katiba mpya. Taarifa hii…
Nicolas Cage anahusika kwenye movie za wiki hii, cheki ratiba nzima kuanzia April 25 to April 30
Ratiba ya movie za wiki hii inahusisha movie ya Frozen Ground ambayo star Nicolas Cage amehusika kwenye hiyo movie, kutoka kwa waandaaji wa movie hii ni kwamba imetengenezwa kutokana na…
Taarifa kuhusu kocha mpya wa Taifa Stars na lini anakuja Bongo
Kocha Mkuu mpya wa Taifa Stars, Martinus Ignatius Maria maarufu kama Mart Nooij anatarajiwa kuwasili nchini Jumamosi alfajiri (Aprili 26 mwaka huu) tayari kwa ajili ya kuanza kazi ya kuinoa…
Baada muda mrefu wa Abou Diaby nje ya game.
Meneja wa club ya Arsenal Arsene Wenger amethibitisha kwamba baada ya mwaka mmoja wa kukaa nje ya uwanja, mchezaji Abou Diaby ataonekana kwenye fainali za Premier League. Staa huyu wa…