Ya huyu mlevi akitaja sheria za pombe uliiona?
Japo ni kipisi nimekipata, post hii acha imilikiwe na huyu mlevi ambae video yake ni miongoni mwa video za kibongo ambazo watu wanarushiana sana kwenye simu....... jamaa haoni tabu kukupa…
Kama uliikosa mechi ya Chelsea vs Man UTD Jan 19, nimekuletea hii video ya magoli yote
Samuel Eto'o ndio alizifunga goli zote tatu za Chelsea kwenye mechi na Manchester United January 19 2014 ambapo wakali wa Moyes walifunga moja tu. Kuna uwezekano hukupata nafasi ya kutazama…
Kwa wale wa Flora Mbasha.
Kwenye rekodi ya Tanzania, huyu ni miongoni mwa mastaa wachache sana wa muziki wa Injili ambao wamewahi kuvunja rekodi ya nyimbo zao kuchezwa sana kwenye redio hata zisizo za dini.…
Kwahiyo hii ndio katuni nyingine maarufu ya kiswahili kuhusu Manchester United sio?
Basi baada ya mechi ya Chelsea vs Manchester United January 19 2014 ambapo ushindi ulichukuliwa na Chelsea kwa 3 -1 wafungaji wakiwa ni ( Eto'o 17' 45' 49' na moja…
Yani nakukumbushia tu kuhusu @NyamaChomaFest 2014 !!!
kwa mara ya kwanza kabisa mwaka huu 2014 tamasha kubwa la Nyama choma (The Nyama Choma Festival - TNCF ) limepangwa kufanyika Jumamosi ya March 8. Nani alifikiria kuwa…
P Square sasa kwenye ukurasa mmoja na Usher Raymond, Ludacris na T.I
Siku zote ukisikia Mwafrika yeyote kanunua au anamiliki nyumba Marekani au kwenye nchi yoyote iliyoendelea sana duniani, lazima sehemu ya mawazo yako iwe ni fikra juu ya utajiiri alionao. Basi…
Taarifa kamili kuhusu Kuvamiwa kwa mwigizaji Basupa.
Hii ni sehemu ya pili yenye taarifa zaidi kuhusu mwigizaji Basupa kuvamiwa usiku na watu wasiofahamika ambao walimpora. Basupa ameanza kwa kusema>>'Dah mtu wangu yaani mi mwenyewe kwanza nilipagawa kwa…
Yalitangazwa mashindano ya vipaji vya muziki, hawa watoto wakajitokeza
Katika baadhi ya familia watoto wamekua na nafasi ndogo sana ya kusikilizwa na kupewa nafasi ya kufanya kile wanachopenda au kutaka kukifanya kwenye maisha yao. Post hii ni maalum kwa…
Unaambiwa msanii Jaguar kutoka Kenya alikuja Tanzania na ndege yake binafsi, icheki hapa.
Jaguar msanii wa Kenya anatajwa kama masanii mwenye mafanikio kwenye muziki na kwenye biashara binafsi. Jaguar pamoja na team yake walikuja Dar kwa ajili ya promotion ya wimbo wake mpya…