Ukweli juu ya Collabo ya Ney wa Mitego na Madee uko hapa.
Mbali na kuwa wanatokea eneo moja la Manzese wamewahi kutangazwa kuhusu kuwa na uhasama kwa muda mrefu sana ambapo pia ilifikia kipindi mpaka familia zao zikawa na taarifa juu ya…
Haya ndio mabadiliko yaliyofanywa na Rais kwenye baraza la Mawaziri
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amewahamisha na kuwateua baadhi ya Mawaziri na Naibu Mawaziri kama ifuatavyo:- OFISI YA RAIS Hakuna mabadiliko. OFISI YA MAKAMU…
Ule wizi wa Kizamani warudi tena
Kwa mwaka 2014 inawezekana ikawa ni tukio la kwanza kumtokea msanii aliyekua mshiriki kwenye tamthilia ya jumba la Dhahabu msanii Basupa kuhusu kuvamiwa kupigwa na kuporwa baadhi ya vitu vyake.…
Alichokiandika Florah Mvungi kuhusu mapenzi ya Diamond na Wema
Uhusiano wa Diamond na Wema umeonekana kurudi kwa kasi hasa baada ya party iliyofanyika December 25 2013 pale Leaders na kuwahusisha Watoto mbalimbali kusherehekea xmas na Diamond mwenyewe. Siku hiyo…
Alichokijibu Madee baada ya maoni ya watu kuhusu video yake mpya.
Ikiwa ni siku ya tatu tangu kuachiwa kwa video ya Rapa toka kundi la Tip Top Connection Madee video ya wimbo wa wimbo wake wa Tema Mate Tuwachape baadhi ya…
Hizi ndio picha mpya za mtoto wa Kanye West na Kim Kardashian
Kama ilivyokua kwa mara ya kwanza picha ya mtoto North West ilionekana kwenye The Ellen show. Mara nyingine tena picha za mtoto huyo zimeonyeshwa baada ya mama yake Kim Kardashian…
Stori za magazeti ya leo Jumamosi January 18 2014
Kila siku hapa millardayo.com huwa naweka magazeti ya siku husika, kuanzia udaku michezo na hardnews nikiamini kwamba wakati mwingine unaweza kuwa mbali na yanakopatikana au yakawa yanachelewa kukufikia asubuhi. Lengo…
Msikilize Mbwiga leo jan 17
Kama kawaida ya Mbwiga wa Mbwiguke kila Ijumaa kuwepo live studio,msikilize hapa akipiga stori ndani ya Sports Extra,sikiliza kupitia 87.9 Clouds Fm Moshi na Arusha. Bonyeza play kusikiliza.
Meya wa Manispaa ya Bukoba ajiuzulu baada ya ripoti ya CAG
Madiwani wa Manispaa ya Bukoba wamekua na tuhuma dhidi ya Mstahiki Meya Anatory Amani kwa matumizi mabaya ya madaraka ambapo leo Meya huyo wa Manispaa ya Bukoba Anatory Amani amejiuzulu…