Picha: Kutoka kwenye uzinduzi wa ‘SAMIA INFRASTRUCTURE BOND’ Mlimani City DSM
Ni November 29, 2024 ambapo Benki ya CRDB inazindua SAMIA INFRASTRUCTURE BOND patika Ukumbi wa Mikutano Mlimani City Hall jijini Dar es Salaam. Huku Mgeni Rasmi ni Makamu wa Rais…
Rais wa Ukraine amshutumu Putin kwa kuchochea vita
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy alimshutumu Rais wa Urusi Vladimir Putin siku ya Alhamisi kwa kuzidisha vita vya Ukraine kimakusudi ili kuvuruga juhudi za kumaliza mzozo huo, hasa zikilenga hatua…
Takriban watu 15 wakiwemo watoto 7 wafariki na wengine 113 hawajulikani walipo Uganda
Juhudi za uokoaji zinaendelea mashariki mwa Uganda kufuatia maporomoko ya ardhi yaliyozika nyumba katika zaidi ya vijiji 6 wakati nyumba 45 zimezikwa kabisa. Takriban watu 15 wakiwemo watoto 7 walifariki…
Maandamano yanaendelea baada ya uchaguzi nchini Msumbiji
Maandamano yanaendelea baada ya mazungumzo yaliyopangwa kumaliza machafuko nchini Msumbiji kutibuka. Msumbiji imekumbwa na maandamano mabaya ya wiki kadhaa kuhusu uchaguzi wa urais wa tarehe 9 Oktoba, ambao umefichua kutoridhika…
Hukumu ya kesi ya kulawiti inayomkabili aliyekuwa RC wa Simiyu Dkt. Yahaya Nawanda kutolewa leo
Kutoka Mahakama kuu Kanda ya Mwanza, leo November 29, 2024 inatarajia kutoa hukumu ya kesi yakulawiti namba 1883/2024 inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Yahaya Nawanda. Kesi inasikilizwa…
Shule za msingi 139 Mbinga kupewa kompyuta
Naibu Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM), Mhe.Judith Kapinga ameahidi kutoa kompyuta 139 katika Shule za Msingi 139 zilizopo Halmashauri ya wilaya ya…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo November 29, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 29, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 29, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam November 29, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Mwenyekiti wa zamani wa Benki Kuu ya China ahukumiwa kifo
Mwenyekiti wa zamani wa Benki ya Uchina, Liu Liange, mnamo Jumanne alihukumiwa kifo baada ya mahakama moja mjini Jinam katika mkoa wa Shandong mashariki mwa China kumpata na hatia ya…
Putin atishia kushambulia majengo muhimu ya Ukraine kwa makombora
Rais wa Urusi Vladimir Putin, ametishia kuyashambulia majengo ya kufanyia maamuzi ya Kyiv baada ya msururu wa mashambulizi makubwa jana usiku. Amezungumza kwa mara ya kwanza akiwa katika mkutano wa…