AyoTV

VIDEO: Msanii kutoka Ubelgiji amekuja Tanzania kufanya collabo na Harmorapa

on

Staa kutoka Bongoflevani Harmorapa ameendelea kutrend kwenye headlines mara hii akiingia studio kwa ajili ya kufanya collabo ya kimataifa baada ya kumleta nchini staa wa muziki kutoka Ubelgiji Kriticos.

Kriticos ni msanii kutoka Ubelgiji mwenye asili ya Tanzania na Zambia amefika nchini kufanya kazi na Harmorapa ambapo leo April 7, 2017 walipata nafasi ya kuzungumza na AyoTV Entertainment na millardayo.com.

Hapa anaeleza mpango mzima…

VIDEO: Mose Iyobo na mpango wa kufungua darasa la Dance. Bonyeza play kutazama.

Soma na hizi

Tupia Comments