Habari za Mastaa

VideoMPYA: Kutoka kwa WizKid hii hapa ‘Come Closer’ akimshirikisha Drake

on

Mwimbaji staa wa Nigeria WizKid ambaye ameshawahi kuja Bongo kutoa burudani kwenye uzinduzi wa FIESTA 2016 jijini Mwanza, amefanya kolabo na mkali mwingine kutokea Marekani Drake.

Wimbo unaitwa Come Closer ambao umeandaliwa na Director Daps.

Bonyeza play kutazama kisha niachie maoni yako kwa kucomment…

Video: Alichojibu Harmorapa baada ya Wema Sepetu kumtolea nje ombi lake. Bonyeza play kutazama.

Soma na hizi

Tupia Comments