AyoTV

VIDEO: Mbunge Halima Bulembo katusaidia kuipata Takwimu ya Wanafunzi Tanzania

on

Bado tunazisogelea stori kutokea Bungeni Dodoma, siku mbili za May 26 na 27 zimetengwa kwa ajili ya kuijadili bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi iliyowasilisha maombi yake ya fedha kwa mwaka wa 2016/2017 kiasi cha Shilingi 1,396,929,798,625.00

Najua kuna watu wangu wanakosa kabisa nafasi ya kuwasikiliza Wabunge wao wakichangia, hapa nimekusogezea Mbunge wa Viti Maalum CCM Halima Bulembo akichangia kuhusu tatizo la Walimu na Wanafunzi pia akitusaidia kuipata takwimu ya Wanafunzi Tanzania.

ULIIKOSA HII? YA MGAWANYO WA TRILION 1.3 ZILIZOOMBWA NA WIZARA YA ELIMU

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments