Habari za Mastaa

Alichokisema Mr. Blue kuhusu Diamond kutumia jina la Simba…(+Audio)

on

Hivi karibuni Msanii Diamond Platnumz amekuwa akilitumia jina la Simba kama moja ya a.k.a katika maeneo mbalimbali hasa akiwa kwenye stage, Lakini hapa nakukutanisha na Msanii Mr. Blue akielezea watu wanaotumia jina hilo.

Unaweza kubonyeza Play hapa chini na ukapata full stori

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments