Top Stories

BREAKING: Mtangazaji Isaac Gamba amefariki nchini Ujerumani

on

Leo October 18, 2018 Mtangazaji wa Idhaa ya Sauti ya Kiswahili ya DW ya Ujerumani, Isaac Gamba amefariki dunia akiwa nchini humo.

Taarifa za awali za kifo cha mtangazaji huyo Mtanzania zinadai amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake leo Alhamisi.

Mmoja wa marafiki zake waliozungumza na kwa njia ya simu kutoka Ujerumani amesema jana Gamba hakuonekana kazini pamoja na juzi Jumanne.

Akiwa nchini, Gamba amewahi kufanya kazi vyombo mbalimbali vya habari ikiwamo Redio Uhuru, RFA, ITV na kabla ya kwenda Ujerumani alikuwa Radio One.

Kampuni ya MO DEWJI yafunguka ishu ya kusitisha uzalishaji

Soma na hizi

Tupia Comments