Leo Soudy Brown alikuwa na msanii wa Bongo Fleva, Imbella ambaye ana uhusiano na mke wa zamani wa Bob Junior, kuna story kwamba walianza uhusiano wao tangu mwezi February baada ya ndoa ya Bob Junior kuvunjika.
Hata hivyo Bob Junior alipoulizwa kuhusu hilo alisema hana mpango wa kuoa kwa sasa, na hajisikii wivu kuona mpenzi wake wa zamani akiendelea na mtu mwingine.
U Heard yote niliirekodi, iko kwenye hii sauti hapa.
Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.