Top Stories

Boti iliyozama imeua watu 10 wakiwemo watoto sita (+video)

on

Watu sita wamefariki Dunia baada ya boti kuzama katika Ziwa Tanganyika eneo la kambi ya Wavuvi Makakara kijiji cha Rufugu wilaya ya Uvinza Mkoani kigoma.

RPC wa Kigoma James Manyama amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema taarifa za awali zinaeleza kuwa watu sita wamefariki huku idadi kamili ya abiria waliokuwa katika boti hiyo ikiwa bado haijulikani.

Mwezi mmoja uliopota ajali kama hii ilitokea katika eneo la kijiji cha Simbwesa ambapo watu tisa walifariki kati ya abiria 60 waliokuwemo ndani ya boti.

Soma na hizi

Tupia Comments