Ndege ya Precision Air imepata ajali katika Ziwa Victoria Bukoba, Kagera asubuhi hii ambapo Mashuhuda wanasema ajali hii imetokana na Ndege hiyo kupata hitilafu wakati ikitua, AyoTV tupo eneo la tukio na tutakupatia taarifa kamili.
Bonyeza hii video kufahamu habari zaidi na kushuhudia kile kinachojiri katika eneo la tukio.