Yanga SC leo wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Simba SC katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation, goli pekee la Yanga lilifungwa dakika ya 26 na Feisal Salum.
Hapa nimekusogezea ufahamu alichozungumza Bumbuli kuhusu mchezo huo.