AyoTV

VIDEO: “Mnawachaji kodi kubwa wawekezaji, mnaua au mnajenga?” – Mwanjelwa

on

Moja kati ya Wabunge waliopata nafasi ya kusimama Bungeni May 17, 2017 na kuchangia Bajeti ya Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, alikuwa ni Mbunge wa Viti Maalum Mbeya mjini Mary Mwanjelwa ambaye alihoji sababu ya Serikali ya Tanzania kuweka viwango vikubwa vya kodi kwa wawekezaji kitu alichodai husababisha viwanda vingi vya ndani kufa.

Full video nimekuwekea hapa chini tayari….

VIDEO: Wizara ya Viwanda imeomba Tsh. 122.2b kama Bajeti Kuu 2017/18 

Soma na hizi

Tupia Comments