social network

Staa mwingine aliyebadilishiwa ‘Play Button’ na YouTube

on

Moja ya stori ambazo zinakamata headlines katika mitandao mbalimbali Duniani kwa sasa ni good news iliyotangazwa na mtandao wa YouTube kwa staa wa muziki wa Marekani Chris Bown.

YouTube wamebadili kitufe ‘PLAY BUTTON’ kwenye account ya staa wa muziki Chris Brown baada ya kufikisha zaidi ya wafuatiliaji ‘subscribers’ 10m ambapo sasa kitakuwa ‘Diamond Play Button’ na hatua hiyo Chris Brown anaungana na mastaa wengine kama Eminem, Nicki Minaj na Wiz Khalifa kubadilishiwa ‘Play Button’ na YouTube kwa kuwa na wafuatiliaji wengi. Wengine ni Rihanna, Taylor Swift, Skrillex na Ariana Grande.

Baada ya ‘WAPE’ Bongolos wanakuja na hii kutoka Bongo Records…

Soma na hizi

Tupia Comments