AyoTV

VIDEO: Maazimio ya Wabunge baada ya Maamuzi ya Rais JPM

on

Baada ya Rais JPM kukabidhiwa Ripoti ya Pili ya Makinikia Ikulu DSM, leo June 14, 2017 Bunge limependekeza kufanya maazimio baada ya mrejesho wa Kamati iliyoundwa na Rais JPM kuchunguza kiwango cha madini kwenye makontena ya mchanga. Nimekusogezea FULL VIDEO yenye kila kitu hapa…

VIDEO: Maswali makubwa 12 yaliyoulizwa Bungeni leo June 14, 2017 

Soma na hizi

Tupia Comments