Habari za Mastaa

List ya nyimbo 20 za CloudsFM Top 20 January 28, 2018

on

January 28, 2018 kupitia Clouds FM imechezwa midundo 20 ya wiki ambayo kama ulikosa kuisikiliza kupitia Radio, millardayo.com inakupa nafasi ya kufahamu ilivyokaa chart na kujua nani amepanda, nani ameshuka na lipi ingizo jipya kwenye chart.

“Management ilikaa kikao kuhusu uhusiano wangu na Nandy” -Bright

“Nilipigiwa simu na mwanamke wa Nay akisema niachane na mpenzi wake” – Nini

Soma na hizi

Tupia Comments