Duniani

VideoFUPI: Kabla ya kumwokoa mtu kwenye gari lililokuwa likiungua moto Jamaa kaset kamera kujirekodi

on

Teknolojia sasa inafanya watu kuhakikisha hawapitwi na tukio lolote hasa lile la kitofauti, kama umekuwa ukifuatilia mitandao ziliripotiwa habari za baadhi ya watu kufa baada ya jaribio la kutafuta selfie ya mwaka, sasa huyu jamaa kamwokoa dereva lakini kabla ya kuokoa aliset kamera yake ili kuhakikisha analinasa tukio zima la uokozi.

Jamaa ambaye alikuwa ni mpita njia tu amefanikiwa kumwokoa Dereva  kutoka kwenye gari lililokuwa linawaka moto, video hii fupi inaonyesha jamaa akikimbilia kwenye eneo la tukio na kumuokoa mtu aliyekuwa amepata ajali, hii imetokea nchini Marekani.

ULIKOSA UTANI WA MASANJA AKIMPA MAGUFULI STLYE MPYA YA KUTUMBUA MAJIPU? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments