Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Shabiki wa kike aliyekuwa akimsumbua Chris Brown asomewa mashtaka

on

Mwimbaji staa Chris Brown alifungua kesi dhidi ya shabiki Danielle Patti ambaye alikua  akienda nyumbani kwake bila ruhusa ama mualiko wowote na kumsumbua Chris.

Danielle Patti alianza kuonekana nyumbani kwa Chris tangu Desemba 2015 ambapo alikua akimtaka Chris kimapenzi na amekuwa akidai kumpenda sana hivyo anashindwa kukaa mbali naye, na hata alidai Chris ni mpenzi wake wa zamani.

chris-brown

Mahakama imeamuru shabiki huyo  akae mbali na Chris Brown na kutohudhuria show zake kwa miaka mitano ambapo sasa hivi Danielle yuko hospitali ya wagonjwa wenye matatizo ya akili na alipelekwa baada ya tukio la kuvamia nyumbani kwa Chris April mwaka huu.

ULIPITWA?: Bonyeza play hapa chini umsikie shabiki wa Chris Brown akielezea jinsi mwimbaji huyo alivyovunja simu yake

 

ULIPITWA?: Tazama show ya Chris Brown Mombasa Kenya October 2016 kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments