Tanzania imeingia katika mwaka wa uchaguzi na hivi karibuni kila chama cha kisiasa kilichoamua kusimamisha mgombea wa kugombea nyadhifa mbalimbali za kisiasa vinajiandaa kuzindua kampeni zake rasmi. August 23 ni siku ambayo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeamua kuzindua kampeni zake rasmi kuelekea uchaguzi mkuu wa Urais, Ubunge na madiwani Oktoba 25
Nimekusogezea picha 30 za kinachoendelea Jangwani
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos