Top Stories

Uko tayari kwa GOOD NEWS? Hii imetoka St John’s University of Tanzania

on

Watu wangu ambao ama wao au watu wao wa karibu wamehitimu masomo ya Kidato cha Sita na wanatafuta Taasisi za Elimu ya juu ili wajiendeleze zaidi, nimepenyezewa GOOD NEWS na St John’s University of Tanzania ambayo napenda pia nanyi iwafikie.

Kufuatia Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania yaani TCU kufungua maombi kwa wanafunzi kuomba Chuo kwa awamu ya pili October 4-10 ili kuruhusu makundi mbalimbali ambao kwa sababu kadhaa hawakufanya maombi katika awamu ya kwanza…sasa good news ni kwamba St John’s University of Tanzania (SJUT) inazo nafasi za kuomba katika degree mbalimbali.

RC Mwanza alivyotekeleza ahadi yake kwa mlemavu wa miguu

Soma na hizi

Tupia Comments