Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
Moja ya kati ya yalioandikwa ni huu utafiti kwenye gazeti la Mtanzania wenye kichwa ‘Chips chakula hatari’.
#MTANZANIA Ulaji chipsi watajwa kusababisha maradhi ya figo, moyo, shinikizo la damu, kisukari, saratani aina zote pic.twitter.com/WX4yOc7QXl
— millardayo (@millardayo) August 2, 2016
Ulaji wa chipsi umetajwa kuwa hatari kwa afya ya binadamu, kwani husababisha maradhi mengi yasiyo ya kuambukiza hasa figo, moyo, shinikizo la damu kisukari na saratani za aina zote. Imeeleza kuwa sahani moja ya chips kavu huwa na mafuta yanayokaribia nusu kikombe cha chai ambayo ni sawa na ujazo wa milimita 250.
Hayo yalisemwa na Mtaalamu wa Masuala ya Chakula na Lishe wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Ulumbi Kilimba alipokua akizungumza na gazeti la Mtanzania ambapo alisema walaji wengi wa chipsi wako kwenye hatari ya kutengeneza sumu kwenye miili yao bila kujijua.
Alisema jambo la kusikitisha ni kwamba wafanyabiashara wengi wamekuwa hawazingatii umuhimu wa kutumia mafuta mara moja katika kukaanga vitu hivyo.
Utafiti wa Marekani nao pia umeeleza kwamba ulaji wa mara kwa mara wa chips unaweza kuongeza uwezekano wa mwanamke kuwa katika hatari ya kupata maradhi ya kisukari wakati wa ujauzito. Sababu ya wanga ulio katika viazi unaweza kusababisha kuongezeka kwa viwango vya sukari zaidi, wanasema utafiti wao ulihusisha wanawake wajawazito zaidi ya 21,000.
SOURCE: MTANZANIA
#MWANANCHI CHADEMA kanda ya kusini kufanya mikutano 8,764 kuanzia ngazi ya chini mikoa ya Ruvuma, Lindi na Mtwara pic.twitter.com/sh9m6MGfcy
— millardayo (@millardayo) August 2, 2016
#MWANANCHI Watanzania wanaotafuta ajira Dubai sasa wabebeshwa cocaine ili wazisafirishe kwenda Hong Kong pic.twitter.com/FLkAwGzsAp
— millardayo (@millardayo) August 2, 2016
#MWANANCHI Lema amvaa DC Arusha mbele ya naibu waziri TAMISEMI, Jaffo akidai anaingilia shughuli za halmashauri pic.twitter.com/lIab3iQivT
— millardayo (@millardayo) August 2, 2016
#MWANANCHI Serikali yavunja mkataba wa nyumba 5, 600 na NHC kwa kushindwa kutekeleza ahadi kwa zaidi ya miaka 10 pic.twitter.com/FUmoMYhkDx
— millardayo (@millardayo) August 2, 2016
#MWANANCHI Waziri Maghembe amesema watalii wanaendelea kuingia nchini na kuanzishwa kwa VAT hakujapunguza idadi yao pic.twitter.com/wQ1xfPH0gB
— millardayo (@millardayo) August 2, 2016
#MWANANCHI Mrema amesema kuwa Lowassa angefuata ushauri aliompa wa kuhama CCM 1992 wangeingia Ikulu 1995 pic.twitter.com/SNbNaN1stF
— millardayo (@millardayo) August 2, 2016
#MWANANCHI USAID yaipa TZ bil 850 kwa ajili ya sekta za afya, kilimo, usimamizi wa maliasili, nishati, utawala bora pic.twitter.com/q1a7Qfosn5
— millardayo (@millardayo) August 2, 2016
#MWANANCHI NEMC yasema 98% ya miradi kanda ya ziwa inachafua mazingira pic.twitter.com/5KjTWYhpxO
— millardayo (@millardayo) August 2, 2016
#MWANANCHI Waziri mkuu Majaliwa awataka wananchi kuacha kuitumia kauli ya 'hapa kazi tu' kwa kufanya kazi haramu pic.twitter.com/4Im1tDdqqc
— millardayo (@millardayo) August 2, 2016
#MWANANCHI Serikali yatoa tani 100 za chakula kwa maeneo yaliyoathirika na ugonjwa unaotokana na sumukuvu Dodoma pic.twitter.com/ApPGJ3p71f
— millardayo (@millardayo) August 2, 2016
#NIPASHE TRA imesema zaidi ya watu 500 wamekamatwa mikoa mbalimbali na kutozwa faini kutokana na kutodai risiti pic.twitter.com/DhzAzeuFGP
— millardayo (@millardayo) August 2, 2016
#NIPASHE Wadau walalamikia vyombo vya ulinzi kwa kushindwa kudhibiti magendo ya kahawa inayosafirishwa kwenda Uganda pic.twitter.com/afTSNVJgIk
— millardayo (@millardayo) August 2, 2016
#NIPASHE Kampuni 314 zimekamatwa kwa kuchakachua mafuta ya petroli na dizeli ktk kipindi cha miaka miwili pic.twitter.com/IR2OnZtYPd
— millardayo (@millardayo) August 2, 2016
#NIPASHE Rais Magufuli aagiza uhakiki wa takwimu za wanafunzi katika shule za msingi na sekondari nchini pic.twitter.com/TTpiBiZx5a
— millardayo (@millardayo) August 2, 2016
#MTANZANIA Siku moja baada James Lembeli kuibuka ktk mkutano wa Rais Magufuli, asema hana mpango wa kurudi CCM pic.twitter.com/CVEWhwuVIv
— millardayo (@millardayo) August 2, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI AUGUST 03 2016 KUTOKA AYO TV? UNNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI