AyoTV

VIDEO: Wizara ya TAMISEMI imeomba kutengewa zaidi ya Trilion sita

on

Wizara ya nchi ofisi ya Rais, Tawala za mikoa serikali za mitaa iliwasilisha Bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka wa fedha 2017/2018 ambapo kazi ilifanywa na Waziri George Simbachawene.

Mheshimiwa Spika, naomba Bunge lako tukufu likubali kuidhinisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2017/2018 jumla ya shilingi Trilioni sita, bilioni miatano sabini na nane, milioni mia sita ishirini na saba, laki nne sabini, mia nne tisini na tano kwa ajili ya ofisi ya TAMISEMI‘ –Waziri Simbachawene

VIDEO: ‘Serikali inafanya jitihada lakini haina majibu sahihi’ –Jumaa Aweso 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments