Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Doctor wa Chelsea bado mambo hayaeleweki, mengine ni haya baada ya kusimamishwa..
Share
Notification Show More
Latest News
Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
February 2, 2023
Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Doctor wa Chelsea bado mambo hayaeleweki, mengine ni haya baada ya kusimamishwa..
Sports

Doctor wa Chelsea bado mambo hayaeleweki, mengine ni haya baada ya kusimamishwa..

August 11, 2015
Share
1 Min Read
Footage has emerged of fans directing abuse at Chelsea club doctor Eva Carneiro
SHARE

Kocha wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho bado anaamini kuwa mkuu wa madaktari wa timu hiyo Eva Carneiro alifanya uzembe wakati wa kumtibia Eden Hazard kitu kilichopelekea Mourinho kuona kama anachelewesha muda wakati mchezo ulikuwa katika dakika za nyongeza.

evapa_3222081b

Taarifa zilizotoka August 11 kuhusiana na Doctor huyo huenda hatasafiri na timu wiki ijayo katika mechi dhidi ya Mancherster City, Eva Carneiro bado ataendelea kuwa mkuu wa madktari wa timu hiyo ila hatoruhusiwa kwenda katika mazoezi ya timu hiyo na hata wakiwa katika Hotel kitu ambacho kimezua maswali mengi juu ya hatma ya Doctor huyo katika timu hiyo.

BvwYuz8IMAA8q4d

Baada ya Mourinho kumlaumu Eva  baadhi ya watu katika mitandao mbalimbali ya kijamii walimpongeza Eva kwa maamuzi aliyoyafanya na wao wanaamini alikuwa anatekeleza majukumu yake kama Doctor wa timu hiyo.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

You Might Also Like

PSG wachukizwa na Chelsea kukwamisha usajili wa Ziyech

Enzo avunja rekodi ya Uingereza usajili

Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal

Jorginho yametimia Arsenal

Picha: Tazama wadau mbalimbali waliohudhuria kushuhudia mkataba wa Yanga na Haier

Rama Mwelondo TZA August 11, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Alilewa kazini, picha ikapigwa na kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii, kilichofuata ni stori nyingine!
Next Article Japan kwenye headlines nyingine za teknolojia, unaambiwa kwa hii miwani hakuna camera inanasa sura yako !!
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
Top Stories February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
Magazeti February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
Top Stories February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
Top Stories February 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama

February 2, 2023
Top Stories

Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha

February 2, 2023
Top Stories

Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu

February 2, 2023
Top Stories

liganga na Mchuchuma ngoma nzito, Waziri akubali hoja za Askofu Gwajima

February 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?