Chelsea imekuwa timu ya kwanza ya ligi kuu ya England kuweza kufunga goli katika hatua ya 16 ya michuano ya UEFA Champions League baada ya kutoka sare ya 1-1 dhidi ya Galatasary.
Goli la Chelsea lilifungwa na Torres wakati Galatasary walisawazisha kupitia Aurelien Chedjou.