Michezo

Tazama mabao saba ya mchezo wa Real Madrid vs Schalke

on

article-2568686-1BDD161800000578-959_636x439Klabu ya Real Madrid imeweka mguu mmoja katika hatua ya robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa ulaya baada ya kuishindilia bila huruma Schalke kwa mabao 6-1 katika mchezo uliomalizika hivi punde huko Ujerumani.

Mabao ya Real yalifungwa na Karim Benzema, Gareth Bale na Cristiano Ronaldo wote wakifunga mabao mawili mawili, Klaas Jan Huntelaar nae akaifungia bao la kufutia machozi Schalke.

Tupia Comments