Habari za Mastaa

Ciara kwenye headlines na kichupa kipya: Dance Like We’re Makin Love. (Video)

on

ciara-davibe

Baada ya kuweka headlines na wimbo wa I Bet, Ciara amerudi tena na kichupa kipya. Wimbo unaitwa Dance Like We’re Making Love na wimbo huu pia unapatikana kwenye album yake ya JACKIE.

Nimekusogezea video hiyo hapa chini, bonyeza play kuitazama.

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments