Mtu wangu wa nguvu bado nakusogezea ubunifu na vitu mbalimbali ambavyo kwa nchi za wenzetu hupendelea kufanya, hii ni miji iliyojengwa kwa ustadi mkubwa sehemu mbalimbali duniani. Imenivutia mtu wangu nikaona nikusogezee ustadi wa hii miji iliyojengwa kwenye miinuko ya mawe, kwa harakaharaka kama pangekuwa hapajajengwa ilikuwa ni ngumu kwa mtu kukubali kuchukua kiwanja hata kama angepewa bure. Hizi ni pichaz za miji 10 iliyojengwa kwenye miinuko ya mawe. Hii ni list kutoka worldtoptop.com na inatajwa kama ni miji 10 inayovutia iliyojengwa kwenye miinuko ya mawe.
10- Azenhas do Mar, Ureno
9- Cinque Terre, Italia
8- Tropea, Italia
7- Cuenca, Hispania
6- Positano, Italia
5- Rocamadour, Ufaransa
4- Polignano a Mare, Italia
3- Ronda, Hispania
2- Kijiji cha Haid Al-Jazil- Wadi Dawan, Yemen
1- Constantine, Algeria
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE