Miji/Nchi

Huu ni ubunifu wa ujenzi wa miji 10 duniani kwenye miinuko ya mawe, Afrika namba moja (+Pichaz)

on

Mtu wangu wa  nguvu bado nakusogezea ubunifu na vitu mbalimbali ambavyo kwa nchi za wenzetu hupendelea kufanya, hii ni miji iliyojengwa kwa ustadi mkubwa sehemu mbalimbali duniani. Imenivutia mtu wangu nikaona nikusogezee ustadi wa hii miji iliyojengwa kwenye miinuko ya mawe, kwa harakaharaka kama pangekuwa hapajajengwa ilikuwa ni ngumu kwa mtu kukubali kuchukua kiwanja hata kama angepewa bure. Hizi ni pichaz za miji 10 iliyojengwa kwenye miinuko ya mawe. Hii ni list kutoka worldtoptop.com na inatajwa kama ni miji 10 inayovutia iliyojengwa kwenye miinuko ya mawe.

10- Azenhas do Mar, Ureno

AzenhasdoMar1-paulowjorge

9- Cinque Terre, Italia

CinqueTerre6

8- Tropea, Italia

Tropea2

7- Cuenca, Hispania

cuenca2

cuenca_cliffs_thebluebrick

6- Positano, Italia

Positano1-twojewlochy

5- Rocamadour, Ufaransa 

Rocamadour1

rocamadour_cliif_town

4- Polignano a Mare, Italia

polignano_a_mare_tarantino_vincenzo

3- Ronda, Hispania

Ronda3

Ronda2

2- Kijiji cha Haid Al-Jazil- Wadi Dawan, Yemen

WadiDawan1

1- Constantine, Algeria

Constantine1-mariuszkluzniak

Constantine2-mariuszkluzniak

constantine10

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andikaAYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments