Mix

Clouds TV yapata kibali cha kurusha matangazo yake kitaifa.

on

1779281_684969414879813_999306451_nLeo hii tarehe 28/2/2014 Clouds TV  imepata kibali cha kurusha matangazo yake Tanzania nzima.

Clouds TV imekabidhiwa kibali hicho na Tanzania communications regulatory authority (TCRA).

General director wa TCRA Prof John Nkoma amemkabidhi director of production and programs wa Clouds media group Mr Ruge Mutahaba kibali cha Clouds TV kurusha matangazo yake nchi nzima kama free to air.

1619427_684969471546474_711060175_n

1662055_684969368213151_1821614993_n

Tupia Comments